7 natural laws of business

7 natural laws of business

"....if you can concentrate on doing one thing over a period of time, success is inevitable."

hii inamaanisha hata yule muuza karanga anaepigwa na jua pale road kila sku aendelee kukomaa kuuza karanga zake za mia mia ipo sku atatajirika?
 
Ile kanuni inasema "concentrate your energies onto capital growth"....muuza karanga,muuza mitumba, mfanyabiashara yoyote aki concentrate kwenye kukuza mtaji,believe me,hawezi kubaki pale alipo, King 999 shida ya wafanyabiashara wengi wadogo hawana ndoto za ku build empire.
 
Tukiwa church huwa tunashiriki meza ya Bwana na kunywa as a Blood, Je hiyohiyo inaweza kumwagwa kwenye biashara au kiwanja na ikaprotect biashhara? Pia nawezakutumia mwongozo gani Kuomba? Yaani mimi mwenyewe au kumtumia mchungaji?
Process ya kuipata hiyo damu ni ile ile kama wanavyofanya wachungaji kwenye meza ya Bwana,Kama wewe ni spiritual infant,unaweza kuomba pastor wako akusaidie ila Kama uko matured you can do it by yourself,matumizi ya damu ya Mwana wa M-ngu inategemea na lengo.
 
Spiritual laws are temporary, mfano imemuahidi mteja aje kesho saa 5, anakuja muda huo, anakuta kazi yake bado na unamshangaa, hapo sasa hiyo
Spiritual law, inafanyaje Kazi ama unauza chakula kilicho oza, ama huduma mbovu
Hiyo spiritual law inafanyaje kazi

Mfano mwingine mteja anakuja mnapishana kauli halafu unampiga ama unajibu mbofumbofu je atarudi kesho ama kukuletea wateja?

Ama kwenye biashara yako huhudumii kwa nidhamu kisa wewe ndiye mmiliki na unataka watu wajue wewe ni mmliki yaani mteja ni fala tu,

Well defined as, Status quo
Broo points zako ni common ns zinajulikana na wengi. Tunachotaka sisi na ambacho hatukijui ni another side and secret of business, in spiritual world.
 
In Summary..
1. Zindua biashara kwa damu/liquid iliyobarikiwa.
2. Toa sadaka moja kwa moja kwa wahitaji, hasa wale wanaochangia maendeleo yako.
3. Tunza na heshimu muda katika kila jambo unalofanya.
4. Tunza siri ya biashara na mafanikio yako.
5. Weka msisitizo na zingatia kitu kimoja unachofanya kwa wakati mmoja mpaka uone matunda yake na sio kurukaruka kibiashara.
6. Kaa mbali na watu wenye mtazamo hasi wa kibiashara na kimaendeleo.
7. Jenga urafiki na watu wenye mlengo wa kufanana na wewe na waliokuzidi kimafanikio.

"SUBJECT TO CORRECTION"
 
Process ya kuipata hiyo damu ni ile ile kama wanavyofanya wachungaji kwenye meza ya Bwana,Kama wewe ni spiritual infant,unaweza kuomba pastor wako akusaidie ila Kama uko matured you can do it by yourself,matumizi ya damu ya Mwana wa M-ngu inategemea na lengo.
Ok asante mkuu.. Heri ya Christmas 🎄
 
Broo points zako ni common ns zinajulikana na wengi. Tunachotaka sisi na ambacho hatukijui ni another side and secret of business, in spiritual world.
Secret?, there's no secret in business what you need is a knowledge of a correlation of information, individual skills or life learning skills, (skill set), a business plan to scale your business idea and entrepreneurial competences, (traits)

Ili kuanzisha ama kuiendeleza biashara unahitaji taarifa na uwezo wako mzuri wa kutafsiri taarifa, uwezo binafsi kiakili unao jumuisha elimu dunia na elimu maalum, kitaalamu unatakiwa uwe na andiko la biashara ili uweze kukabiliana na ushindani wa kibiashara, bila kusahau kuzijua na kuziishi tabia za wajasiriamali waliofanikiwa huko duniani
 
Bro unamiliki biashara yoyote iliyofanikiwa? At least iwe ina ten years survivor at peak?
 
Back
Top Bottom