Habari haijajitosheleza wangetoa number of registered vehicles na kuweka mizania kuna automatic cars ngapi na Manual cars ngapi. Unaweza ukakuta asilimia 95 ya magar yote huko n Automatic, hivyo sio ajab kupata hyo asilimia ya accidents zinazosababishwa na automatic drivers