JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Hata hapa bongo wapo bodaboda wanaojielewa. Inabidi umsome vizuri bodaboda ukiwa umepanda pikipiki yake kuanzia mavazi, harufu mpaka uendeshaji.Juzi juzi nilikuwa kwenye The Kingdom of Rwanda nimekuta Boda boda wenye nidhamu ya hali ya juu na wenye kufuata sheria zote za Barabarani.
Hapa kwetu sijui ni laana gani inayotutafuna na kuangamiza kizazi hiki.
Hata hawapimwi Afya kabla ya kupewa leseni ya Pikipiki.Hata hapa bongo wapo bodaboda wanaojielewa. Inabidi umsome vizuri bodaboda ukiwa umepanda pikipiki yake kuanzia mavazi, harufu mpaka uendeshaji.
Mara nyingi sana nashuka kwenye bodaboda kabla sijafika niendako nikiona dreva ni mjinga.
Hata hawapimwi Afya kabla ya kupewa leseni ya Pikipiki.
Kuna mmoja huko Mtoni mtongani kamuua Mama wa watu kwasababu alikuwa na kifafa kikamshika akiwa akiwa kampakia Mama huyo
Hili Taifa linahitaji maombi maalum ya kumlaani Nyerere na kumuombea Kambona.
La hasha, nina point.Unaharibu uzi makusudi.
Sheria ni moja.Bodaboda lisingekua janga kama madereva wake wangekua na uelewa walau kuhusu sheria za barabara.
Kuna siku utashukia KuzimuHata hapa bongo wapo bodaboda wanaojielewa. Inabidi umsome vizuri bodaboda ukiwa umepanda pikipiki yake kuanzia mavazi, harufu mpaka uendeshaji.
Mara nyingi sana nashuka kwenye bodaboda kabla sijafika niendako nikiona dreva ni mjinga.
Haya madude nawaonaga wale wazungu(watalii) wanayavaa wakiwa wanaendesha pikipiki hapa kwetu.Sheria ni moja.
Baada ya hapo kuna hatua ya pili hadi kumi naa ishirini hivi kuhusu bodaboda.
Kuna suala la mavazi maalumu ya kinga ukiwa kwenye pikipiki, helment najua tunavaa japo hata nayo ni nusu wateja bado hawavai...... jaketi la pikipiki [sio la fashion] nazungumzia yale ya kina alpinestasr etc na viatu maalumu asee mi naona tuwekeze kwenye mavazi pia [motorcycle gear] itapunguza sana nahisi.
Mungu hana upendeleo na sheria ni msumeno.
Kwa uzi uleule mfano nipo natafuta viatu kama hii napata wapi mazee na shngapi?
View attachment 2307309