80% ya Wanawake Tanzania ni 'omba omba'

Udangaji ni attitude ambayo lazima itokomezwe, lazima serikali ifanye kitu, hatuwezi kuwa na taifa la wanawake wadangaji, kuna kitu hakifanyiki sehemu
Niwatetee tena akina mama ...kwa kuzunguka kwangu nchi tofauti za wenzetu walioendelea na wale wa kati madanga yapo tu kote..
Na hapa shida ni hali yenu ya uchumi iko vipi.so sio kosa lao...umasikini mbaya ndugu.
 
Hujielewi, unaoa mwanamke ili aendelee kula kwa wazazi wake!? tafuta pesa acha kutafuta kulialia kuonewa huruma na wanawake.......vinginevyo jiunge chaputa.
soma vizuri uzi,sisi mabepari hatufugi kupe wala chawa. Lazima kila mtu azalishe.
 
Niwatetee tena akina mama ...kwa kuzunguka kwangu nchi tofauti za wenzetu walioendelea na wale wa kati madanga yapo tu kote..
Na hapa shida ni hali yenu ya uchumi iko vipi.so sio kosa lao...umasikini mbaya ndugu.
Baadae utakuja kujua hujui
 
Ukikua utajua hujui
Dogo usitumie pesa nyingi ili umridhishe demu ili uwe nae acha moyo wake uamue Kama anaendana na wewe atabak na wewe bila hata hizo pesa
Shida ni kuwa mnalazimisha kuwapenda wasio wapenda huo ni udhaifu ndo nyie mnao jinyonga mnahongaa wee alaf mnachapiwa na fala asie na Raman.

Demu ukiona kaweka pesa mbele jiongeze hapo hakuna mapenzi acha kulazimisha mambo muache aende ili usiwe na manung'uniko
 
Hayo yote ninayajua na nina yafanyia kazi, shida ni kwamba mindset ya dada zetu inaamini kwamba sisi tunajukumu la kuwatunza. Yaani akishakuwa na wewe pesa zake hazitakiwi kufanya kazi, umuhudumie umlipie kila kitu, sasa huo ndiyo ukupe, sisi mabepari hatutaki.

Nikimuhudumia kwa mapenzi yangu sioni shida ila si kwa kushinikiza. Imesemwa hapo awali wanawake wasifanye mahusiano chanzo cha mapato au relief from their financial responsibilities kama watu wa kawaida
 
Hapo inabidi ujifanye mgonjwa aje kukuangalia ukiwa peke yako unakomaa nae, nenda kwenye uzi wa kula tunda kimasihara kuna mbinu nyingi kali. Ila mwisho wa siku usibake, kifungo ni 30years
Wife ni mama wa nyumbani, so ni mara chache sana Mimi kuwa home bila yeye.
 
Omba omba hao wamejazana sana kwenye sekta ya Bongo Movie, yaani karibia kila mmoja wao ni kahaba.
 
Mkuu huyo mwanamke unayetaka akusaidie majukumu yako ni kwamba nawe utakuwa unamsaidia yake au yake apambane na hali yake? Na bado utataka uendelee kumtawala na kujiita kichwa cha familia wakati pesa wote mnatafuta na bili wote mnalipa?
Ukikua utakuja kujua hujui
 
Jibu kwanza hayo maswali mkuu acha kuzunguka! Vinginevyo mkubali kwamba wanaume ndiyo wabinafsi na si vinginevyo!
mahusiano siyo chanzo cha mapato au relief ya financial responsibilities kwa mtu yoyote na wala siyo jackpot kwa mtu yoyote.

Hakuna mtu mwenye jukumu la kumtunza mtu mwingine kama siyo mtoto au mwenye physical au mental challenges
 
Itakapokomeshwa zinaa haya yote yatakoma...
 
Soma ISAYA 4:1
Isaya 4:1
Wakati huo wanawake saba watamvamia mwanaume mmoja na kumuambia,chakula na mavazi tutajitafutia wenyewe, lakini wewe utuondolee aibu yetu,uturuhusu tuitwe kwa jina lako.
 
Kilichomtokea Jamaa ako kimenitokea mm jana acha niamke nijiandae nikiwa naelekea job ntakuja na Story kama ya jamaa ako mpaka sa hivi nataka tu ninwache huyu mwanamke
 
Ndiyo maana nikasema kwahiyo hata kumtawala itakuwa siyo jukumu lako sababu hakuna mwenye jukumu la kumtawala mwenzie! Na vile vile hata wewe ni jukumu lako kuingia jikoni kupika na kuosha vyombo au nawe uwe unafua na kufanya usafi!
Nani anataka kumtawala mwingine kwenye mahusiano, mahusiano ni siasa?

Kuna level ukifika hayo mambo ya kufua, kupika, kufanya usafi n.k yanakuwa taken care na hela

Swala kubwa hapa ni financial responsibility. Sisi mabepari hatutaki kupe na chawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…