80% ya Wanawake Tanzania ni 'omba omba'

Shangaa na wewe.

I thought he had a point until it came to the issue of wives taking care of themselves.

Shitty ideology.
Don't be bitter, usiwe kupe, fanya kazi, mabepari hatutaki watu wababaishaji, wanao take advantage. Haukuja duniani na mwanaume, umekuja peke yako, pambana. Ukipewa hela shukuru Mungu, ukitunzwa hivyo hivyo. Gone are those days, jipange. This shit is real and coming so fast.

Isaya 4:1

Wakati huo wanawake saba watamvamia mwanaume mmoja na kumuambia,chakula na mavazi tutajitafutia wenyewe, lakini wewe utuondolee aibu yetu,uturuhusu tuitwe kwa jina lako.
 
Kwenye vikao vya kahawa tunajiita HEAD OF THE HOUSE
Then tunataka ku share cost.
Basi na tuwaombe mahari watoe wao.
Mwanaume sio suruali hata maandiko yanasema.
Mwanamke atazaa kwa uchungu
Mwanamme atailisha familia kwa jasho.
Sema wewe mkuu
Wanaume wa sikuhizi wanalia jamani, khaa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Isaya 4:1

Wakati huo wanawake saba watamvamia mwanaume mmoja na kumuambia,chakula na mavazi tutajitafutia wenyewe, lakini wewe utuondolee aibu yetu,uturuhusu tuitwe kwa jina lako.
 
Kuhudumia mke na familia ni jukumu la mume, there's no running away from that. Ukiona mtu analalamika kutoa huduma kwa mke ujuwe uchumi wake bado sio mzuri na inabidi mke nae atoke atafute ili mambo yaende..na hapa tupo wanaume wengi tu, 80% tunataka wake zetu watoke kutafuta ili mambo yaende.

Kuhudumia mchumba, girlfriend ni maamuzi ya mtu, usilalamike kama uliamua mwenyewe kuhudumia girlfriend wako.

Tatizo kweli kuna wadada wanaomba...yaani kweli sio sawa, umemfaham leo, kesho sim imepasuka kioo.
 

Kinachotokea ni akili ndogo sana. Kuna majukumu ambayo mwanamke yeye kama yeye anapaswa kujitimizia sasa ikitokea ukahamishiwa hayo majukumu kuwa yako ukayatimiza haina maana umerogwa !!! Kwa wenzetu si kwamba hakuna hivyo vitu , vipo. Ila mfumo wao ndiyo unawapelekea kuwa hivyo kusaidiana kwenye mahusiano.

Lakini pia mademu wa mizinga it really depends na hali ya maisha, pia familia walizotoka maana ubinafsi ni mtu mwenyewe jinsi alivyo hata sisi kuna wanaume pia omba omba kwa mademu.
 
The issue is kwanini haudumiwe? yeye ni mtoto mdogo? ni kichaa? au ana changamoto za maumbile. Hakuna huo wajibu.

Wanaume tumeambiwa tutakula kwa jasho, wao hawajaambiwa watakula kwa jasho la mwanaume.

Tunafuga makupe, watu wavivu. Mifumo ya kibepari haitaki.

Ni nyege zetu tu ndiyo zinatufikisha huko, na udhaifu wa babu zetu. ila kuna jamii nyingine wanatumikishwa mashambani wanazalisha hawakai kipuuzi kama hawa wa mjini.

Kwani yeye ana bargain power gani, ni hiyo K ndiyo inayokusukuma kuhangaika hivyo?

Waje mezani watuambie kwanini sisi tuwahudumie.

Wanaomba sana mpaka wanauzi
 
Umendika muda ambao wamelala! sasa wakiamka mweeeee
Mila na desturi, silka ya tangu enzi. Si omba omba, ni kusaidiana. Wana ume tuna muda mwingi wa kutafuta, nao wana muda kwa majukumu ya asili.

Wakiyaacha na kufanya kama unavyo taka, leo dunia isingekuwa kama ilivyo. Fikiria wanawake waamue wote, kuzaa basi, kunyonyesa basi, itakuaje? Waombe radhi tafadhali.
 
Udangaji by itself haukubaliki na siyo maadili mema, uzaifu wa wanaume siyo justification ya kuwepo udangaji. Ni mind set iliyojengwa na mfumo wa maisha unaopendwa na wanawake wavivu na wasio jitambua
Mwanamme kumhitaji mwanamke si udhaifu, ni asili.
 
We ndo umeongea ukweli
Sitaki hata kuongeza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanamme kumhitaji mwanamke si udhaifu, ni asili.
Soma vizuri comment alafu ndiyo ujibu.

Hakuna mahali nimeandika kumtaka mwanamke ni udhaifu, udhaifu upo kwenye namna unavyofikisha ujumbe wako wa kumtaka, pengine utatumia pesa au vitu vya thamani au utaongea vizuri. Udhaifu huo sasa usitumike kama justification ya kuhalalisha udangaji.
 
Itakapokomeshwa zinaa haya yote yatakoma...
Hapo ndo mzizi wa hilo tatizo ulipo, unaobwa pesa na mwanamke baada ya wewe kumtongoza alafu unalalamika?

Mwanaume ni mtawala hivyo ukitaka kutawala vizuri uwe na uchumi mzuri yaani jasho lako liwe kubwa alafu tafuta mwanamke wa sifa zako unazopenda muhudumie kwa ufahari kabisa na tabia utakuwa huru kumuonya tabia mbaya usizopenda na hapo atakuwa ni mkeo Sasa mwaume analalamika kuobwaobwa pesa na wanawake anaowatongoza kwani nani amekwambia utongoze hovyo hovyo?

Wakati uliambiwa utafute wa kufanana na wewe na ukimpata utajisikia fahari kumuhudumia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…