Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 5,715
- 13,739
Walikula bebes sana.waliferi kabisa kujitafuta na kujipata..
Wengi wao ukimbana kwa maswali, huwa wanakuwa wakali kwelikweli.Ukweli mchungu,vijana tunapitia wakati mgumu sana!
Ni ukweLi sana huu unakuta kijana wa miaka 20-30 badala ya kuitengeneza kesho yake anahangaika kuitengeneza jana ambayo mzee wake alifeli kuitengeneza dahUkweli mchungu,vijana tunapitia wakati mgumu sana!
Saidia wazazi wako acha kutafuta uhalali wa kukacha majukumuNdiyo wakuu, hii ni nyingine tena kutoka kwa Mwizukulu mgikuru ni ukweli usiopingika kuwa kwa sasa vijana wengi tunapitia joto ya jiwe, moja ya mambo yanayotufanya dunia tuione chungu ni hili la wazee wetu, unakuta kijana anahangaika kujijenga lakini bado pia ajenge na kule alipotoka.
Kama haitoshi yeye mwenyewe ajitengenezee vitega uchumi vitakavyo mpa chochote kitu kama nyongeza zaidi ya mapato yake lakini pia wapo wazee wanaoomba nao pia wajengewe miradi au biashara ili wasikae bure, huu wote ni msalaba wa kijana wa sasa na hii inadhihirisha kuwa wazee au wazazi asilimia kubwa walishindwa kujitafuta na kujipata leo wamekuwa mizigo kwa vijana wao.
Ndiyo na nyie mjitafute muache maneno na longo longo mingi!Ukweli mchungu, vijana tunapitia wakati mgumu sana!
Vile mko wavivu sana! Mnakwepa responsibilities!Ukweli mchungu, vijana tunapitia wakati mgumu sana!