80% ya wazee wetu walishindwa kujitafuta na kujipata

Poleni sana mzee wangu alikuwa anajielewa
 
unaweza kuwalaumu wazee wetu kwa namna moja, ukawatetea kwa namna nyingine. MFUMO wa maisha enzi za ujana wao nao lilikua tatizo jingine. Anyway! wazazi wa ki_Africa usipowasaidia unaambulia laana tu, huo ndio urithi watakaokuachia.
 
Kama hivi unavyoona tunakula bata sana, pombe kwa wingi, mademu kwa sana, kuhonga mpaka tunajidai mitandaoni mwisho wa siku tutazeeka.

Lakini hatutakubali kwamba haya ndio yaliyodumaza Ustawi wetu.tutapenda tuonekane ni wazee wa Busara mbelr ya jamii na sio mbali ni 2050 tu hapo.
 
daaaah hii inaumiza sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…