83% ya wanawake mnaonyoa na wanawake mnaovaa majuba mnanivutia

Mi sielewi ni kwa wanawake wakishonea au kuvaa minywele fake hujiona wamependeza sana....mbona mkinyoa mnapendeza sana na mnaonekana hot zaidi.
Plz hebu badilisheni hair style kidogo mtupumzishe na mawigi sometime yanatema kichizi mixer kwenye mwendo kasi tafrani kwa harufu za uvundo
 
Wakijiangalia kwenye vioo na miwigi sijui mi nini hiyo ya kushonea kichwani, wanaona wamependeza. Mwanamke anayeweka vitu artificial katika mwili wake binafsi simuoni kama anavutia. Sijui wanaoona wanavutia, ni kweli au wanawadanganya!!?? Sijui wanaficha nini??
 
Mi sielewi ni kwa wanawake wakishonea au kuvaa minywele fake hujiona wamependeza sana....mbona mkinyoa mnapendeza sana na mnaonekana hot zaidi.
Plz hebu badilisheni hair style kidogo mtupumzishe na mawigi sometime yanatema kichizi mixer kwenye mwendo kasi tafrani kwa harufu za uvundo
Yani kama wanaume tunawapenda hiv wanakimbilia mawigz wtf
 
Kumbe tupo wengi. Mwanamke anayenyoa hunimaliza kabisa. I really like it. Hata mbaya anakuwa beautiful.
Sijui nani anawaaminisha kusuka vitu vya ajabu kuwa vinavutia
Kaka,,, unishindi ase, yan ukute kablack byut af simple af kanyoa

Yan wale we mawig afu yanawashaaa
 
Back
Top Bottom