83% ya wanawake mnaonyoa na wanawake mnaovaa majuba mnanivutia

Na weng wa hvyo ata kumkichwa ni some 000.000578
 
mtafanya mawigi yakose soko [emoji23] [emoji23] [emoji23]
maana hawa ubavu wetu wanafanya vitu kutu impress sasa itabidi tuanze kupenda wanaonyoa
 
Kumbe tupo wengi. Mwanamke anayenyoa hunimaliza kabisa. I really like it. Hata mbaya anakuwa beautiful.
Sijui nani anawaaminisha kusuka vitu vya ajabu kuwa vinavutia
I'll lean on this... mwanamke akinyoa anapendeza hatari... au akifuga nywele basi azibane nyuma ila ziwe dried.

Sasa unakuta mtu kacomplicate kasuka sijui drogba sijui Msuko gani.. ukimwambia mama umependeza ukiwa hivi anajua unamnyima pesa ya saloon
 
Hyo sentensi ya mwisho mmmh nkahisi umeniona pahala duuuh
Ndiyo zako hizo? You must be beaut.. mnapendezaga saana.

Sasa wengine utakuta kasuka msuko rasta zimepandishwa juu zikarudi nyuma... ni complications tu ila kwenye Rasta walai huwa hampendezi[sitaki useme ni machoni mwangu tu].
 
Wala sisemi kitu! Ukibahatika kuja kuhesabiwa ha ha haha ntakuona kisiri maana humu wapo wanakuita sukari ya warembo wasije nipiga buree! [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji3] [emoji3] [emoji2] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Utaweza uzushi wa watu wa JF.... humu unaweza kuitwa sukari na mwanaume mwenzako. Ignore them.

Haya wacha niendlee kujikoki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…