83% ya wanawake mnaonyoa na wanawake mnaovaa majuba mnanivutia

Utaweza uzushi wa watu wa JF.... humu unaweza kuitwa sukari na mwanaume mwenzako. Ignore them.

Haya wacha niendlee kujikoki.
Ha ha haaa umenikumbusha kitu, yani dume anatongoza dume mwenzie hataree ila jf raha sanaa
 
Wakuu hamjambo.

Nimeona niweke wazi.

Ladies wengi waliovaa majuba wananisisimua.

Pia wanawake wanaonyoa huwa nawapenda mionekano yao.
Mkuu naona ile mishe yako ya katoro umefanikisha Hahahahahaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…