83% ya wanawake mnaonyoa na wanawake mnaovaa majuba mnanivutia

Black or chocolate akinyoa anapendeza zaidi na wanaovaa majuba ila wale wavaa mawingi mtanisamehe japo nawapenda pia ila hamnivutii
 
Mwanamke akisha nyoa sijui namwonaje, watu tupo tofauti...





 
Basi leo wanaume wooote watajifanya wanapenda wanaonyoa na kuvaa hijab. Teh teh.
Sie wengine tunaambiwaga hivi.....

Tusichoshane, kila mwanaume ana vile anavyopenda mkewe aonekane.

May be wale wanaosuka vitu havieleweki nao kuna wanaowapenda,
kuna kusuka buanaaa, mtu unasuka mpaka unajiona urudi on your 10's.
 
hili swala halina ubishi kama polisi wa kibongo kuishi kwenye mabanda ya kuku
 
Marasta na mba vp
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…