Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Sawa meneja🤣🤣Hakuna mgeni , jumatano leo.. labda ingekuwa ijumaa 😅😅
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa meneja🤣🤣Hakuna mgeni , jumatano leo.. labda ingekuwa ijumaa 😅😅
Hapo sasa kwny kuteketeza maini..inabidi wajitahidi..Tutafute tu hela mkuu hakuna namna
Hata wanaokunywa Highlife na Banana wanaona wanao kunywa K vant na serengeti wanamatumizi mabaya ya hela
Used from Dubai [emoji23][emoji23]Nauza iPhone 15 used nipo kariakoo hapa
Sio ushamba ni maamuzi tuu.Sijui ni hela sina au ushamba!! Simu huwa natumia hadi iombe poo, ndio nanunua nyingine. Hivi hivi tuuuu, hapana kwakweli.
😂😂 watu wanakasirikia vitu pasi na sababu!! UwiiHuu uzi mbona umejaa chuki kwa watumiaji wa tunda..simu kama magari tu mfuko wako ndio unaamua acha watu waenjoy bwana
Hatupqngiani matumizi ya pesa.85 percent ya Wauza iPhone
Hawawezi kukwambia SIRI hii
Kwanini?
Subiri nikupe Story,
Nina Ndugu yangu
Kila ikitoka iPhone,
New Model, lazima Aidake!
Na anaidaka ikiwa,
Bado haijapoaa!
My Guess Mwisho wa mwezi huu kabla haujaisha lazima anipigie Simu anipe Umbea kwamba
Anayo mkononi!
Na anachukua the latest Model
Yenye Pro Max - 1TB
Sasa Bhana! Kitu anachofanyia hiyo simu ndio Kinachekesha,
Na hapa ndio watu wengi wanafanya,
"Wrong Investment"
oK, Kwanini?
Kuna Sababu kubwa
Kwanini Apple wanatoa
↳iPhone 15 -$799 (128GB)
↳iPhone 15 Plus - $899 (128GB)
Hizi ni kwaajili ya Watu,
Wa kawaida, ambao-
Matumizi yao sio Makubwa...
Kama:
↳Kuchati Na kupiga cha za hapa na pale!
(Na matumizi mengine ya kawaida)
Linapokuja sasa Swala la
(Pro line up);
↳iPhone 15 Pro - $999 (128GB)
↳iPhone 15 Pro Max - $1199 (256GB)
Hapa tunahama kabisa,
Kwenye Matumizi ya,
Kawaida na ndio maana Kuna neno (PRO)
Pro means- For Proffesionals!
Na ndio maana umeona
Kwenye Uzinduzi wame-
Taja watu wa aina Mbili...
- Photographers
- Videographer/Film Maker!
Sasa wewe na kiranga chako,
ili mradi watu wakuone,
Una iPhone Kubwa...
Unaenda Ku-invest More,
Than 4M kwenye Kitu,
Ambacho hukitumii to the Max,
By the way: Kila nikimkuta,
Ndugu yangu yeye ni,
Akisoma Umbea!
- Snapchat
- Candy Crash Saga...
- Mange Kimambi,
Ona sasa 🥲
Anyway: Okoa Pesa zako,
Acha kwenda kwa Trend...
Alafu pia, Dada yangu!
Hizi ni simu hazina Mwisho,
Linda Utu wako! Kuliko Vyote
Ulindavyo!
Yangu ni hayo tu!
AM OUT!
KabisaaTutafute tu hela mkuu hakuna namna
Hata wanaokunywa Highlife na Banana wanaona wanao kunywa K vant na serengeti wanamatumizi mabaya ya hela
ukute apo alipo ana a21😂.Mnaona mambo sasa za Mtz 🤣
😂😂ama A10ukute apo alipo ana a21😂.
wa hovyo sana😂😂ama A10
Afu anashauka tu.. kisa chata ni Samsung.
wabongo nyosoo
Kabla sijamaliza kusoma nilijua tu kuwa ni yeyeMkuu huu uzi kuna bwana kule X iliyokua Twitter anaitwa Francis mtei(inframe_tz) anao kama huu ni wewe? Kama sio basi ingekua vyema ukatoa credit..