85% ya Wauza iPhone hawawezi kukwambia siri hii

85% ya Wauza iPhone hawawezi kukwambia siri hii

85 percent ya Wauza iPhone
Hawawezi kukwambia SIRI hii

Kwanini?

Subiri nikupe Story,

Nina Ndugu yangu

Kila ikitoka iPhone,
New Model, lazima Aidake!
Na anaidaka ikiwa,
Bado haijapoaa!

My Guess Mwisho wa mwezi huu kabla haujaisha lazima anipigie Simu anipe Umbea kwamba
Anayo mkononi!

Na anachukua the latest Model
Yenye Pro Max - 1TB

Sasa Bhana! Kitu anachofanyia hiyo simu ndio Kinachekesha,
Na hapa ndio watu wengi wanafanya,

"Wrong Investment"

oK, Kwanini?

Kuna Sababu kubwa
Kwanini Apple wanatoa

↳iPhone 15 -$799 (128GB)
↳iPhone 15 Plus - $899 (128GB)

Hizi ni kwaajili ya Watu,
Wa kawaida, ambao-
Matumizi yao sio Makubwa...

Kama:
↳Kuchati Na kupiga cha za hapa na pale!
(Na matumizi mengine ya kawaida)

Linapokuja sasa Swala la
(Pro line up);

↳iPhone 15 Pro - $999 (128GB)
↳iPhone 15 Pro Max - $1199 (256GB)

Hapa tunahama kabisa,
Kwenye Matumizi ya,
Kawaida na ndio maana Kuna neno (PRO)

Pro means- For Proffesionals!

Na ndio maana umeona
Kwenye Uzinduzi wame-
Taja watu wa aina Mbili...

  • Photographers
  • Videographer/Film Maker!

Sasa wewe na kiranga chako,
ili mradi watu wakuone,
Una iPhone Kubwa...

Unaenda Ku-invest More,
Than 4M kwenye Kitu,
Ambacho hukitumii to the Max,

By the way: Kila nikimkuta,
Ndugu yangu yeye ni,

  • Snapchat
  • Candy Crash Saga...
  • Mange Kimambi,
Akisoma Umbea!

Ona sasa 🥲

Anyway: Okoa Pesa zako,
Acha kwenda kwa Trend...

Alafu pia, Dada yangu!

Hizi ni simu hazina Mwisho,
Linda Utu wako! Kuliko Vyote
Ulindavyo!

Yangu ni hayo tu!

AM OUT!
Hatupqngiani matumizi ya pesa.
Lakini nakumbuka mhe dr msukumq aliwahi kusema 'VIJANA WA SASA HUSUSANI WASOMI HAWAENDELEI KWASABABU KILA KITU KIPYA WANATAKA WAWE NACHO'

mwisho wa kunukuu
 
Mil 4 sio parefu , halafu kama una pesa tumia achana na wale washamba wanavaa na kuishi hovyo ili kujibana yaani unatunzia pesa watoto kwani ulilazimihswa kuzaa watoto?

Kama unayo pesa nunua kwani hizo kampuni unataka wasiuze na ndio biashara zao...Vizuri kujipenda munua kitu kizuri ,vaa vizuri ndio maisha kujipenda.
 
Kwani toka lini simu ya mkononi ikawa investment?
Wabongo tumezoea umaskini mpka tunaona kununua vitu vizuri ni kufuja pesa!
Watu wana vipato vya maana tu,hizo dola 1200 sio issue kwao!Hatufanani ndo dunia ilivyo,hata ww kuna mtu anakushangaa na simu yako ya 500k
 
Back
Top Bottom