85% ya Wauza iPhone hawawezi kukwambia siri hii

85% ya Wauza iPhone hawawezi kukwambia siri hii

Ukicopy weka na source
Screenshot_2023-09-14-00-41-51-222_com.twitter.android.jpg
 
85 percent ya Wauza iPhone
Hawawezi kukwambia SIRI hii

Kwanini?

Subiri nikupe Story,

Nina Ndugu yangu

Kila ikitoka iPhone,
New Model, lazima Aidake!
Na anaidaka ikiwa,
Bado haijapoaa!

My Guess Mwisho wa mwezi huu kabla haujaisha lazima anipigie Simu anipe Umbea kwamba
Anayo mkononi!

Na anachukua the latest Model
Yenye Pro Max - 1TB

Sasa Bhana! Kitu anachofanyia hiyo simu ndio Kinachekesha,
Na hapa ndio watu wengi wanafanya,

"Wrong Investment"

oK, Kwanini?

Kuna Sababu kubwa
Kwanini Apple wanatoa

↳iPhone 15 -$799 (128GB)
↳iPhone 15 Plus - $899 (128GB)

Hizi ni kwaajili ya Watu,
Wa kawaida, ambao-
Matumizi yao sio Makubwa...

Kama:
↳Kuchati Na kupiga cha za hapa na pale!
(Na matumizi mengine ya kawaida)

Linapokuja sasa Swala la
(Pro line up);

↳iPhone 15 Pro - $999 (128GB)
↳iPhone 15 Pro Max - $1199 (256GB)

Hapa tunahama kabisa,
Kwenye Matumizi ya,
Kawaida na ndio maana Kuna neno (PRO)

Pro means- For Proffesionals!

Na ndio maana umeona
Kwenye Uzinduzi wame-
Taja watu wa aina Mbili...

  • Photographers
  • Videographer/Film Maker!

Sasa wewe na kiranga chako,
ili mradi watu wakuone,
Una iPhone Kubwa...

Unaenda Ku-invest More,
Than 4M kwenye Kitu,
Ambacho hukitumii to the Max,

By the way: Kila nikimkuta,
Ndugu yangu yeye ni,

  • Snapchat
  • Candy Crash Saga...
  • Mange Kimambi,
Akisoma Umbea!

Ona sasa 🥲

Anyway: Okoa Pesa zako,
Acha kwenda kwa Trend...

Alafu pia, Dada yangu!

Hizi ni simu hazina Mwisho,
Linda Utu wako! Kuliko Vyote
Ulindavyo!

Yangu ni hayo tu!

AM OUT!


Kama huna hela, jaribu kutumia kwa akili, hivi kuna sabahu gani ya kuwa na gari zaidi ya moja? Wakati uendeshi yote wakati mmoja?

Waache watu na hela zao na prestige zao.
 
Kiukweli ni vile tu umaskini wetu/pesa ina majukumu mengi. Lakini hakuna mutu asiyependa kutumia vitu vizuri vya thamani.
Yani niwe na pesa isiyo ya mawazo halafu niishi kishida shida as if hiyo pesa nitafufuka niikute!!
 
Iphone ni simu nzuri, na latest zinakuwaga nzuri mno, atleast to me..

Kujiuza ili upate hela ya iphone sioni ubaya as long as wahusika wako okay nayo. watu wanakaba, wanapora, wanafanya ujambazi , wanaloga, wanafanya ufisadi baada ya kuzipata wanaziteketeza bar, au kwenye starehe yoyote isiyokuwa na faida, so tuwaache wapenda Iphone wanunue tu. Btw, kuliwa ni kuliwa na uchakavu ni ule ule either unalipwa au hulipwi, kulipwa ni added advantage [emoji13]

Anyways ni vile tu sina hela ila ningenunua [emoji3][emoji28]
Naomba uniuzie papuchi
 
Back
Top Bottom