Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Nikiona tu lamama akili yote inavurugika[emoji23]Mbona ghafla sana? [emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikiona tu lamama akili yote inavurugika[emoji23]Mbona ghafla sana? [emoji23][emoji23]
Nikiona tu lamama akili yote inavurugika[emoji23]
85 percent ya Wauza iPhone
Hawawezi kukwambia SIRI hii
Kwanini?
Subiri nikupe Story,
Nina Ndugu yangu
Kila ikitoka iPhone,
New Model, lazima Aidake!
Na anaidaka ikiwa,
Bado haijapoaa!
My Guess Mwisho wa mwezi huu kabla haujaisha lazima anipigie Simu anipe Umbea kwamba
Anayo mkononi!
Na anachukua the latest Model
Yenye Pro Max - 1TB
Sasa Bhana! Kitu anachofanyia hiyo simu ndio Kinachekesha,
Na hapa ndio watu wengi wanafanya,
"Wrong Investment"
oK, Kwanini?
Kuna Sababu kubwa
Kwanini Apple wanatoa
↳iPhone 15 -$799 (128GB)
↳iPhone 15 Plus - $899 (128GB)
Hizi ni kwaajili ya Watu,
Wa kawaida, ambao-
Matumizi yao sio Makubwa...
Kama:
↳Kuchati Na kupiga cha za hapa na pale!
(Na matumizi mengine ya kawaida)
Linapokuja sasa Swala la
(Pro line up);
↳iPhone 15 Pro - $999 (128GB)
↳iPhone 15 Pro Max - $1199 (256GB)
Hapa tunahama kabisa,
Kwenye Matumizi ya,
Kawaida na ndio maana Kuna neno (PRO)
Pro means- For Proffesionals!
Na ndio maana umeona
Kwenye Uzinduzi wame-
Taja watu wa aina Mbili...
- Photographers
- Videographer/Film Maker!
Sasa wewe na kiranga chako,
ili mradi watu wakuone,
Una iPhone Kubwa...
Unaenda Ku-invest More,
Than 4M kwenye Kitu,
Ambacho hukitumii to the Max,
By the way: Kila nikimkuta,
Ndugu yangu yeye ni,
Akisoma Umbea!
- Snapchat
- Candy Crash Saga...
- Mange Kimambi,
Ona sasa 🥲
Anyway: Okoa Pesa zako,
Acha kwenda kwa Trend...
Alafu pia, Dada yangu!
Hizi ni simu hazina Mwisho,
Linda Utu wako! Kuliko Vyote
Ulindavyo!
Yangu ni hayo tu!
AM OUT!
Na used tayari?😀😀😀 hatariNauza iPhone 15 used nipo kariakoo hapa
Vipi ulifanikiwa ku complete the puzzle au? 😂kuna dem yaani church girl kabisa wa mtaani nilikua namega kisela aliwahi aliniambia ataanza kutoa tigo kwangu kwa mara yake ya kwanza kama nitampa iphone 12😂😂🚮
Sawa madamKama huna hela, jaribu kutumia kwa akili, hivi kuna sabahu gani ya kuwa na gari zaidi ya moja? Wakati uendeshi yote wakati mmoja?
Waache watu na hela zao na prestige zao.
Upo sahihi quavoKiukweli ni vile tu umaskini wetu/pesa ina majukumu mengi. Lakini hakuna mutu asiyependa kutumia vitu vizuri vya thamani.
Yani niwe na pesa isiyo ya mawazo halafu niishi kishida shida as if hiyo pesa nitafufuka niikute!!
Credit toa wewe broToa credit kwa francis mtei, au ndo wewe mkuu?
View attachment 2748561
Sawa madam tembo2Ukicopy weka na sourceView attachment 2748485
Sawa madamUkiwa na njaa unaona kila mtu anatumia pesa vibaya, tusipangiane matumizi
Ni huzuni bossUmaskini mmbaya sana, leo simu imekuwa kitu cha anasa tena.
Asante mzeeUnakitu utafika mbali kijana [emoji28][emoji28][emoji28]
Naomba uniuzie papuchiIphone ni simu nzuri, na latest zinakuwaga nzuri mno, atleast to me..
Kujiuza ili upate hela ya iphone sioni ubaya as long as wahusika wako okay nayo. watu wanakaba, wanapora, wanafanya ujambazi , wanaloga, wanafanya ufisadi baada ya kuzipata wanaziteketeza bar, au kwenye starehe yoyote isiyokuwa na faida, so tuwaache wapenda Iphone wanunue tu. Btw, kuliwa ni kuliwa na uchakavu ni ule ule either unalipwa au hulipwi, kulipwa ni added advantage [emoji13]
Anyways ni vile tu sina hela ila ningenunua [emoji3][emoji28]
Hawanitishi hao kenge.Ushauri Mzuri, japo Utachambwa Balaa!
Hawa hawa ukiwakuta kwenye uzi mwingine utawakuta wanalalamikia bei ya mafuta.Nasoma comments za matajiri wa Jamii forums.
Bora useme wewekuna dem yaani church girl kabisa wa mtaani nilikua namega kisela aliwahi aliniambia ataanza kutoa tigo kwangu kwa mara yake ya kwanza kama nitampa iphone 12[emoji23][emoji23][emoji706]
Mitandao hii kaka.Hawa hawa ukiwakuta kwenye uzi mwingine utawakuta wanalalamikia bei ya mafuta.