Jasusi,
..... Sullivan foundation haikuanza jana JK aliposhika madaraka wala AY hakupewa wenyekiti kwa sababu JK ni mshikaji wake na sasa hivi ni rais. Hivi ikiwa kuna maandalizi ya mkutano June 2008 Tanzania ulifikiria ni njia ipi iliyotakiwa kutumiwa ktk kuweka mahusiano yetu karibu na Sullivan foundation. Kisha basi mkutano huu unategemewa kuingiza watalii wawekeshaji kwa mara ya kwanza badala ya hizo safari za JK nje ambazo kila siku zinatu cost sisi. Safari hii hao wageni wanakuja nchini na kuna kila nafasi ya wafanyabiashara Arusha kuuza mali zao hivyo kuongeza mfuko wa kodi yetu. Uliza wakazi wa hapo kuhusu biashara zao kila mikutano ya OAU unapofanyika tofauti na sisi tunapokwenda nje kuhudhuria mikutano.
Jasusi, AY ni mwenyekiti wa Sullivan siye mpangaji wa agenda za mkutano na mwakilishi wa makapuni ambayo sisi tunaweza kufanya nayo biashara.. Uchaguzi ni wetu sisi na ktk maswala gani tutaweza shirikiana.
habari za kusema JK amekuwa groomed na Nyerere ni za uongo? na wapi panaposema kuwa kiongozi hawezi kushirikiana na foundation ambayo mwenekiti wake ni rafiki yako. Kwa maana Sullivan foundation ni entity ambayo inaweza kumwondoa AY ktk kiti hicho na bado ikaendelea na kazi. Sielewi kinachozungumziwa hapa kwani ingelikuwa swala la upatikanaji wa hotel hiyo ya Mount Meru kumetokana na urafiki wake na JK tungekuwa na sababu ya kuzungumza lakini je ya hapo Sullivan foundation sio chama kama cha Bill gates foundation
Mkandara, let us not spin issues.
It is true that AY did not become Chairman when JK became president that is not the issue. But About his power within Sullivan should not be underplayed!
Who is the leadership i.e. DECISIONMAKERS
Leadership
Howard F. Jeter
Howard F. Jeter, a former State Department Career Minister, is the new President and CEO of the Leon H. Sullivan Foundation. For the past two years, he has served as Executive Vice President for GoodWorks International.
Ambassador Jeter brings rich experience and background from working for nearly three decades in Africa. His last diplomatic posting was as U.S. Ambassador to Nigeria where he supported the countrys transition to democratic rule. He served as Deputy Chief of Mission in Namibia and Lesotho respectively. Ambassador Jeter has served as Deputy Assistant Secretary for African Affairs, Director of West African Affairs, and Special Presidential Envoy for Liberia, where he focused on promoting peace and reconciliation in both Liberia and Sierra Leone. Ambassador Jeter served with distinction as U.S. Ambassador to Botswana, and has also held various political, economic, commercial and consular positions in U.S. embassies in Mozambique and Tanzania and Temporary Liaison Office in Windhoek, Namibia.
Ambassador Jeter holds a Bachelors degree in Political Science from Morehouse College, a Masters in International Relations and Comparative Politics from Columbia University and a Masters degree in African Area Studies from UCLA. His languages include Portuguese, Swahili and French.
Andrew Young
The Honorable Andrew Young is Chairman of the Board of the Leon H. Sullivan Foundation and Co-Founding Partner of GoodWorks International, a consulting firm dedicated to promoting sustainable development in Africa and the Caribbean. He has had a distinguished career as a civil rights leader, an American statesman, humanitarian and businessman. During the Civil Rights Movement, Andrew Young, together with Martin Luther King, led the Southern Christian Leadership Conference (SCLC). He later served as a Member of the US House of Representatives, US Ambassador to the United Nations and Mayor of Atlanta. He led the 1996 Atlanta Committee for the Centennial Olympic Games, and was appointed by President Clinton as the Chairman of the Southern Africa Enterprise Development Fund. Andrew Young continues to share his wide-ranging experiences and expertise accumulated in the public and private sectors by participating in events and discussions that stimulate ground-breaking thinking on economic development, human rights and education in the US and around the world.
AY and Jeter are both GWI! Surprise, surprise!
Who would oversee the activities of these leaders? The board, who sits on the board?
Ambassador Andrew Young
Chairman of the Board
Mr. Peter J. Robertson
Vice Chairman of the Board
Mrs. Hope Masters
Special Advisor
Dr. Andrew Brimmer
Treasurer
Board Members
Dr. Bernard E. Anderson Mr. Roderick Gillum
Ms. Connie Wilson Collins Hon. Alexis Herman
Hon. William J. Clinton Hon. Rodney E. Slater
Dr. William Crist Mr. Mark Whitaker
Executive committe ni AY mwenyewe na mke wake mshikaji wake Carlton Masters - Hope Masters! And then Bill CLinton! Bill ni mshikaji wake AY alimpa uongozi wa Southern African Entrprise Developemnt Fund! Na mkewe Hilary alipewa tuzo na SUllivan foundation ili kumwongezea maksi kwa weusi! Wengine bado nawafanyia uchunguzi! But this is a club called friends of AY!
SO who watches the watchdog!?! His friends! Hahaha!
AY makes directly decisions within Sullivan and to bring it to TZ was his decision, let us not spin things! And the fact that Carlton Masters is Africa America Institute iliyotoa award juzi kwa rais na also is co-founder of GWI pamoja na AY is also FACT!
Alafu unaniambia this is NORMAL! No it's not! Na kama magazeti ya MArekani wakipata data hizi they will have a field day! Be careful this can be the scandal of the year!
Urafiki wa JK na AY ni unafiki ni ya Bwana na mjakazi! Listen JK hamfikii AY katika ujanja! He has been bought and is in his pocket! I don't think kama AY needs to invite him even for a drink! Huu ndio ukweli! Kwani ilikuwaje na Obasanjo!
Ok, kuhusu Sullivan kutunufaisha eti wafanyabiashara watauza bidhaa, jamani!
Is that what we expect from this meeting! This is nonsense! Sisi tunataka uwekezaji wa maana utakaonufaisha nchi yetu. What are we talking about? Unasema safari za rais zinagharimu na hii itapunguza gharama! NO! AICC wanaifanyia ukarabati, pia wanakarabati barabara na serikali inalipa hosting fees (not disclosed to wananchi how much we are talking about!). Serikali iweke wazi ni investment gani inafanya for the meeting! I am sure it is several million dollars.
You have not convinced yet, Mkandara!