Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
..pia binti yake wa kwanza anna aliolewa na kuzaa na MMAREKANI MWEUZI ALIYEAMIA HAPA KUITIKIA MWITO WA MWALIMU...na waliukuwa wakiishi na yule binti pale arusha ..sema kilichomuudhi mwalimu...ni binti yake anna kuanza kufuata imani ya ki rasta ya yule bwana...nasikia baadaye ndoa yao haikuendelea ..lakini wanao watoto ...na hata yule mmarekani alibadili jina na kujiunga na ukoo wa nyerere na hadi leo ni mwanaukoo!!
Serikali inatumia 30m dollars kwenye huu mkutano,?
Pamoja makampuni ya Simu kutokulipa kodi ipasavyo JK awamwagia sifa Vodacom
angalao labda wauzaji wa rejareja, watoa huduma, hoteli wamefaidika na utalii. lakini hata mimi nimeona ni wachovu tu. hakuna mpango. wa kumfanya raisi ajishirikishe.
anyway, it was a big holiay to them.
I would like to see the budget.
..naamini wengi kwa nilivyoongea nao wangependa kuchangia MWALIMU NYERERE FOUNDATION....lakini shangaa taasisi yake wala haikutuma MSHIRIKI ..sembuse kuwa hata na banda pale..hii ni weakness ya kina membe au butiku...?...mwalimu aliongelewa sana pale ..lakini taasisi ya kusimamia anayoyaamini..labda haikualikwa au hawakuja!
MNF is another NGO just like HAKI ELIMU, TGNP etc, kwanini itengewe fedha bungeni? If i was a foundation established by the act of parliment I would have understood. Or is it another GONGO?-GOverntment NGO?
Asha
MNF is another NGO just like HAKI ELIMU, TGNP etc, kwanini itengewe fedha bungeni? If i was a foundation established by the act of parliment I would have understood. Or is it another GONGO?-GOverntment NGO?
Asha
Kuwabana kusponsor vitu kama hivi ni moja ya njia ya kuwalipisha kodi kiusanii...
Tanzanianjema
Yaani wewe unataka tuamini kabisa kwamba dola imeshindwa kuwalipisha watu kodi sasa imebakia "kuwalipisha kodi kiusanii"?
Huyo Mmerekani alizaa mtoto mmoja na huyo mtoto wa Mwalimu.Baadae alikuja kufanya kazi MNF ndani ya mkataba wa Oxfam.Wale MNF,especially Butiku,walim frustrate sana kwa sababu yeye ndio alikuwa anasimamia masuala ya fedha zinazoingia,na pia ku source pesa kutoka kwa wafadhili.Aliachana nao na kurudi zake Marekani...nasikia anafundisha huko.
MNF haipati pesa toka serikalini kwa sababu ya Butiku.alitakiwa kustaafu toka mwaka jana,laikini kila mtu anashangaa mpaka leo yupo pale.Na yeye sasa hivi anaona kama vile he has nothing to loose amekuwa domokaya.Wametia aibu kwa kuanzisha hio lottery aliyoichezesha Sabodo.Wamekula sana hizo pesa,na kutapeli watu walioahidiwa malori mapya.Sasa pale SAS ni lazima aendelee kuwepo kwa sababu yeye ni kweli ana interest at heart ku-achieve what Mwalimu stood for.