9/12/2019 nawakaribisha Mwanza

Naamini na nina jua humu kuna totoz kali hata huyo juu pichani anasubiri, ila nabisha mpaka kesho kutwa eti cutelove

awe mzuri namna hiyo aah thubutu yake,weee nakataa hata nikichapwa fimbo sikubali.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umewahi kumwamini huyu dada?
Umesahau ile nauli ya 7,800 alyopewa dar arudi Mwanza?
Huyu anajua anachokifanya mwacheni
 
ngoja nimtag kwanza!.
Cc: cutelove
 
Tangu nijiunge Jf sijawahi kukutana laivu na Member hata mmoja wapo na kumuona kwa Macho.Na kwa kuwa u-welder wangu naufanyia Mwanza,nahisi wewe nitakufungia sfr mkuu ili tu niiondoe Nuksi hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…