Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa, naweza kuja na wazee kabisa aisee ili tumalize mambo 9 December 2019.Karibuni sanaView attachment 1277892
Naamini na nina jua humu kuna totoz kali hata huyo juu pichani anasubiri, ila nabisha mpaka kesho kutwa eti cuteloveWhy huamini mbona humu kuna totoz kali tu
Wanaume wa Kibongo wana mambo ya ajabu sana, sijui ni utoto ama ni tamaa? Hapo utakuta washajazana PM! hahaa!! endeleeni tu na tamaa za ajabu, kwa mtindo huu na mtapigwa sana walaqhi'..
Naamini na nina jua humu kuna totoz kali hata huyo juu pichani anasubiri, ila nabisha mpaka kesho kutwa eti cutelove
awe mzuri namna hiyo aah thubutu yake,weee nakataa hata nikichapwa fimbo sikubali.
Nitumie nauli tu
Bila shaka 7800 itapendeza...teh[emoji23]
Kuna kila dalili huyo 'dada' anafanya biashara pendwa.
Kama hivyo basi ni msela tapeli.
cutelove leo rasmi kengele ya hatari imelia kwenye ubongo wangu
ukitaka hii kenyele inyamaze naomba useme na ukubali hizo picha si zako
na useme kwanini uliamua kutumia picha ambazo si zako kusema ni wewe?
Usipoweza nifafanulia hayo maelezo,hii kengele itaendele kulia,sijui mpk saa ngapi.
Yeye hayupo mwanzaUmemuuliza unayemfahamu akasema hayupo jamii forum?
ngoja nimtag kwanza!.Mkuu Wick huyo dada mwenye picha ni mkenya alikuwa au bado anafanya kazi kampuni ya Rama Homes Limited huko Westlands Kenya.
Facebook kuna mtu anatumia picha zake anajiita Elizabeth Mtoni,.
Huyo Elizabeth ukimsearch facebook ana account zaidi ya 4 ila umri tofauti.
Kuna mtu mwingine huko facebook anatumia picha za huyo dada anaitwa Fausta Juma.
Inaonekana kama hawa wabongo wanatumia picha zake nzuri kufanya utapeli mitandaoni kusaka wanaume wenye tamaa ya warembo.
Sikupenda kuweka hivi lakini huyu mleta mada kanilazimisha.
Tena huko facebook anapicha kibao amevaa hadi kitambulisho cha kazini.
Sawa mdau tuko pamoja.Si kweli wivu tu unamsumbua
@SakayoNataka kuja ila kwa kufikia sina, kwako kuna nafasi?
Mkuu nikiachwa ww utapata faida gani?@Sakayo
Tarehe za Uhuru ndani ya jiji bora na jiji la mawe la sato na sangara zinakaribia.
Zitafanyikia uwanja wa CCM Kirumba, nyuma kidogo na ofisi zangu (Kirumba sokoni)
Wale wa mikoani, nawakaribisha sana. Karibu kwenye jiji letu bora na pendwa.
Jiji lenye makabila yote Tanzania ila wenyeji Wasukuma ndo wengi, Wahaya, Wanyambo, Wakerewe, Wakurya, Wajeluo, Wanyamwezi, Waha na Wachagga kwa uchache.
Mkuu nikiachwa ww utapata faida gani?
Karibuni sanaView attachment 1277892
😳😳😳Nimekosa nini kwani mimi eti?Nikuache mara ya ngapi etii