50thebe
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 4,088
- 4,059
Tarehe za Uhuru ndani ya jiji bora na jiji la mawe la sato na sangara zinakaribia.
Zitafanyikia uwanja wa CCM Kirumba, nyuma kidogo na ofisi zangu (Kirumba sokoni)
Wale wa mikoani, nawakaribisha sana. Karibu kwenye jiji letu bora na pendwa.
Jiji lenye makabila yote Tanzania ila wenyeji Wasukuma ndo wengi, Wahaya, Wanyambo, Wakerewe, Wakurya, Wajeluo, Wanyamwezi, Waha na Wachagga kwa uchache.
cutelove kamilisha utaratibu kisha uni-tag ukishachagua eneo la kukutania. Mwisho wa mwaka huu tujumuike pamoja, tufute jasho la mapambano ya 2019. #MwanzaKwanza