9/12/2019 nawakaribisha Mwanza

9/12/2019 nawakaribisha Mwanza

Tarehe za Uhuru ndani ya jiji bora na jiji la mawe la sato na sangara zinakaribia.

Zitafanyikia uwanja wa CCM Kirumba, nyuma kidogo na ofisi zangu (Kirumba sokoni)

Wale wa mikoani, nawakaribisha sana. Karibu kwenye jiji letu bora na pendwa.

Jiji lenye makabila yote Tanzania ila wenyeji Wasukuma ndo wengi, Wahaya, Wanyambo, Wakerewe, Wakurya, Wajeluo, Wanyamwezi, Waha na Wachagga kwa uchache.

cutelove kamilisha utaratibu kisha uni-tag ukishachagua eneo la kukutania. Mwisho wa mwaka huu tujumuike pamoja, tufute jasho la mapambano ya 2019. #MwanzaKwanza
 
Naona picha umeiba Facebook
Tena huyo mdada wa facebook ana account mbili tofauti lakini picha zake ni mtu yule yule.
Huyu kama sio tapeli ni muuza huduma ya ngono.

Tabidi tufanye kitu na uongozi wa JF wamdhibiti huyu mtu. Huyu mtu anataka kuichafua nembo na hadhi ya JF. Itakimbiwa na wajenga hoja wazuri wanaofanya JF iishi.
Naweza kutoa ushirikiano PM wa kuwatumia account zake mbili za Facebook.
Huenda ni mwnaume kabisa ila tapeli.
CC: Mhariri Maxence Melo Moderator
 
Ni me huyo mkuu

Dhibitisha unachokisema,unachafua watu bure,ikiwezekana ungekula ban ndo ujielewe
Sikpendi kuchangia thread kama hizi wala kushambulia watu.
Lakini nilipoona picha uliyoweka unasema yako na kuna mtu ana account mbili huko Facebook anatumia picha za mtu uliyesema ni wewe nikastuka sana nikahisi kuna uhuni unafanya.

Kuhusu ban usiwe na shaka nime wanukuuu wahusika wa JF niweze kuwapa ushirikiano wakiona nakuzushia watanipa hiyo ban haraka sana.

Na kama wewe unamchafua mwenye hizo picha ulizotumia utadhibitiwa ikilazimu na ban.
Ifike wakati JF watu waanze ku-verify authenticity ya ID zao kuepusha vitendo vya kuchafua heshima za watu wasio kuwa na hatia.

Watu lazima wawajibike kwa matendo yao ya kihuni au ya kitoto.
 
Cutelove
Hahaah ila naona kila uzi unaoleta unapata kashkash sana kutoka kwa baadhi ya members humu!
Ila iwapo KWELI UMEHIARI KUWEKA PICHA ZAKO HIZO KABISA
NA HUYO KWNY PICHA KUWA
NI WEWE!
watumie tu hata selfie ili uwakate kauli coz otherwise bado wataendelea kukuandama tu!

Binafsi nakuja Mwnza kula samaki
hiyo Tar 9
Hivi samaki mkubwa kabisa wa kuchoma ni bei gani hapo Villa?
Sio picha zake, hizo picha zinatumika na watu wawili tofauti facebook.
 
Sikpendi kuchangia thread kama hizi wala kushambulia watu.
Lakini nilipoona picha uliyoweka unasema yako na kuna mtu ana account mbili Facebook anatumia picha za mtu uliyesma ni wewe nikastuka sana nikahisi kuna uhuni unafanya.

Kuhusu ban usiwe na shaka nime wanukuuu wahusika wa JF niweze kuwapa ushirikiano wakiona nakuzushia watanipa hiyo ban haraka sana.

Na kama wewe unamchafua mwenye hizo picha ulizotumia utadhibitiwa ikilazimu na ban.
Ifike wakati JF watu waanze ku-verify authenticity ya ID zao vitendo kuepusha kuchafua heshima za watu wasio kuwa na hatia.

Watu lazima wawajibike kwa matendo yao ya kihuni au ya kitoto.
Mkuu mimi sinaugomvi na huyu binti ila mara ya kwanza nimeona tu uzi wake nikasema palepale yeye ni Me tuliochat sana na wanawake kuna vitu unahisi kabisa huyu ni Ke na huyu ni Me...... Basi Kama ameonewa na hiyo picha ni ya kwake aweke selfie huku ameshika karatasi ya blue tu......au awe ameshika sufuria[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aweke video clip anajitambulisha yeye ni fulani wa sehemu flani na account yake yaJF ni fulani, ashike samaki mmoja wa sato mkononi, aweke ID yake ya NIDA au aweke hata namba ya ID ya NIDA.
 
Mpaka hapa nyuzi zako zote zitakuwa zimejaa uongo tupu. Sijui mnafaidika nini kuleta mada za kufikirika humu? Ngumu sana kwa mwanamke anayajitambua kutupia picha hivyo, then ajitambulishe kwa sex life yake wazi wazi.. nakataa!!!
 
Huyu ni attention seeker au me wale wa upande ule.
Unakuta anataka kuwafanya vijana waogope wanawake wa JF waanze kuwafuata wao.
Au ni tapeli tu anataka akawaibie washamba na wenye 'genye' mihemko.

Au ni KE lakini yupo kazini anafanya marketing kwa kutelezea na picha za wenzie warembo.
 
Aweke video clip anajitambulisha yeye ni fulani wa sehemu flani na account yake yaJF ni fulani, ashike samaki mmoja wa sato mkononi, aweke ID yake ya NIDA au aweke hata namba ya ID ya NIDA.
Akituma hizo information humu mkuu unitag
 
Huyu ni attention seeker au me wale wa upande ule.
Unakuta anataka kuwafanya vijana waogope wanawake wa JF waanze kuwafuata wao.
Au ni tapeli tu anataka akawaibie washamba na wenye 'genye' mihemko.

Au ni KE lakini yupo kazini anafanya marketing kwa kutelezea na picha za wenzie warembo.
Mkuu kuna sehemu huko nimesema huyu cute love, magallah r na Prisca aliejitambulisha kuwa ameathirika wote ni mtu mmoja tena ni Me......
 
Back
Top Bottom