90 Minutes in raid on Entebbe: Tukio la ukombozi wa mateka wa Israel Nchini Uganda - THUNDERBOLT

90 Minutes in raid on Entebbe: Tukio la ukombozi wa mateka wa Israel Nchini Uganda - THUNDERBOLT

Kwani wao ndio walikuwa wanaokoa? Waaliingia in the picture very late. Anyway umesikia kuna Myahudi kafa kwenye hilo jengo? Jengo la Myahudi lakini no Isreli casualties!!! Kosa la WEstgate ni la Jeshi la Kenya pure and simple. Tusibebeshe taifa lingine kosa ambalo sio lao.
...Eeh....!!
 
Walienda nadhani Kuwait ndege ikaanguka jangwani kabla ya kufika. Wakasingizia jangwa!!! Hakuna taifa ambalo limewahi kufanikisha kuokoa mateka!!!
Yeah hii mission ilikuwa ya ukweli sana. Hivi wamarekani washawahi kutekewa ndege wakaenda okoa hostages nchi yoyote? Au waishia kutengeneza movies tu za missions kama hizi.?
 
The documentary is not saying anything about the mastermind of the whole plan the brave commander Yonatan

Netanyau!
220px-Yoni-candid.jpg
He was the genius of the whole plan. Unfortunately he was killed by a Ugandan sniper who was also killed during the last minutes of the rescue mission!!The whole story is here Lt. Col. Jonathan (Yoni) Netanyahu official memorial web site - The Entebbe Rescue (Jonathan Operation)

Halafu kumbe huyu jamaa damu kabisa na waziri mkuu Benjamini Netanyahu, mtu na mdogo wake toka nitoke
 
Donluchesse kuna watu unawaumiza sana kwa kuwaonyesha uwezo wa Taifa la Kiyahudi wao wanataka uwasifie Al Shabbab, Osama, Hamas, nk. Ila ukweli utabaki hivyo kua The State of Israel will keep knocking their unrealistic wishes to ashes.

Kweli mkuu wana wa Israel go way back since the biblical era walikua ni taifa lililobarikiwa!
 
Yeah hii mission ilikuwa ya ukweli sana. Hivi wamarekani washawahi kutekewa ndege wakaenda okoa hostages nchi yoyote? Au waishia kutengeneza movies tu za missions kama hizi.?

Wamarekani walipiga mission flani inaitwa Argo mkuu chini ya mtu mzima Mendez 'The master of disguise', hujawahi kuisikia hii mission mkuu? Inaitwa canadian capper
 
Halafu kumbe huyu jamaa damu kabisa na waziri mkuu Benjamini Netanyahu, mtu na mdogo wake toka nitoke

Ni kweli ni mtu na mdogo wake. "Bibi" (benjamin) ni mdogo. Ila wote wawili walikuwepo kwenye ile rescue team. Yonathan alikufa na "Bibi" na wengine walipona.
 
Yeah hii mission ilikuwa ya ukweli sana. Hivi wamarekani washawahi kutekewa ndege wakaenda okoa hostages nchi yoyote? Au waishia kutengeneza movies tu za missions kama hizi.?

Walikwenda palestina kumchukua Osama bin laden
 
Ni kweli ni mtu na mdogo wake. "Bibi" (benjamin) ni mdogo. Ila wote wawili walikuwepo kwenye ile rescue team. Yonathan alikufa na "Bibi" na wengine walipona.

Kwa nini unamuita "Bibi"?
 
Mkuu umenikumbusha mbali sana pale nilipo dhulumiwa na Ticha vitabu vyangu 90 MINUTES OF ENTEBBE na ASSAULT AT MOGADISHU
 
kuna covert ops ya Mossad ilikua na unit ya Nazi Hunters... yaani walikua wanawasaka wakubwa wa Nazi (kama dr.mengele aka dr.death) popote walipokua duniani ili wakashtakiwe, sasa ukisoma hizi simulizi za Nazi Hunters ndo utajua kuna watu wanaujua ujasusi, wengine walijifunza hadi kijerumani na walikiongea kiufasaha
 
Ninayo movie yake ENTEBBE RAID!! Ukiicheck uta prove the Bible says so!!!

Ndugu kama uko na hyo movie nisaidie niweze kuiona niko dar hapa kama uko hapa ni pm ndugu nije unifanyie copy pliz
 
kuna covert ops ya Mossad ilikua na unit ya Nazi Hunters... yaani walikua wanawasaka wakubwa wa Nazi (kama dr.mengele aka dr.death) popote walipokua duniani ili wakashtakiwe, sasa ukisoma hizi simulizi za Nazi Hunters ndo utajua kuna watu wanaujua ujasusi, wengine walijifunza hadi kijerumani na walikiongea kiufasaha

Joseph Mengele aliponea chupu chupu akafa kwa BP bila kushikwa Brazil akiogelea Rio de Jnr lakin Eichman, Rudpolph Hess, na wengineo wanaifaham vzur kaz ya Mossad wengne waliuwawa on spot km hess na wenzake.
 
Back
Top Bottom