90% ya Car Wash ni wezi

90% ya Car Wash ni wezi

MissM4C

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2012
Posts
1,740
Reaction score
1,005
Wakuu ni kara ya pili sasa inanitokea,

Mara ya kwanza nilipeleka gari yangu ikiwa mpya, kwa kuwaamini madogo kwa kuwa ndo car wash pekee iliyopo mtaani, nikaiacha gari nikaifata baada ya masaa 2 na nusu hivi nikaendesha kwenda home, asbh kuwasha inagoma as if battery low, kufungua bonet jamaa wame temper, wamefingua battery yangu mpya wakaweka kimeo, nikawafata wakalipa sikuipata ya awali maana walishauza tayari.

Nikaenda town siku moja, nikaweka gari car wash tena, awamu nikasema nitasimamia show, ila nikapokea simu ya dharura ambapo ilinibidi niende bank kutoa pesa nikafanya chap, kisha nikarud, badae wakakamilisha nikaondoka nilipokuja kukagua baada ya siku mbili, hazard zote zimebebwa na fire extuingsher.

Aiseee pia tank langu maji ya wiper nalo likawa linavuja vibaya sana, kila ukiweka maji yanapitiliza sijui waliifanyaje gari yangu maskini.

Nimekata tamaa kwenda car wash bora nikomae home na wanangu.
 
Nikienda kuosha gari, huwa naenda kwa kazi hiyo mpaka inakamilika naondoka...

Madogo wanajiari kupata riziki, lakini wanatumia mwanya huo kuwa vibaka....Siyo carwash tu...

hata garage gari lako likilala, ukilikuta salama shukuru Mungu..Wataiba Cat converter
 
Hahaha madogo wa carwash wengi njaa yaaani jeki, triangle, fire extinguisher wanakwarua

Na ukijipindua hadi zutu wanapiga nyoka kama ukiwa na mengi kwenye tenki
 
Acha ubwanyenye. Kua KABURU. Simamia kila kitu kwa 100%

Tatizo na mnakua mabwanyenye sana ndio maana mnapigwa kizembe. Mnaleta ubosi ubosi mwingi.

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Yaani hii nahisi ndio itakua comment ya kijinga kabisa , ndio mana wabongo hatuendelei kwa kukosa uaminifu , hujui Kama ukishamuibia Mteja ndio umempoteza mazima, tuwe na ustaarab jamani.

Jaribu kutengeneza wateja wapya na wengi kwa kua muaminifu. Ukikosa kazi unaanza kulalamika ooh kazi haakuna maisha magumu, kumbe ni upumbavu wako ndio umekufikisha huko
 
Yaani hii nahisi ndio itakua comment ya kijinga kabisa , ndio mana wabongo hatuendelei kwa kukosa uaminifu , hujui Kama ukishamuibia Mteja ndio umempoteza mazima, tuwe na ustaarab jamani,
Jaribu kutengeneza wateja wapya na wengi kwa kua muaminifu.
Ukikosa kazi unaanza kulalamika ooh kazi haakuna maisha magumu, kumbe ni upumbavu wako ndio umekufikisha huko
We kiazi umenielewa kweli?

Nimesema huyo jamaa aache UBWANYENYE awe kama KABURU yani akienda kuosha asimamie shoo mwenyewe ...awe in charge wa hiyo kazi.

Sasa unajua kabisa Wamatumbi hawana maana halafu unaleta UBWANYENYE yani UMWINYI MWINYI wa kumuachia gari tena wengine hadi funguo mnawachia kabisa yani ni ubosy bosy tu.

Lazima mpigwe tu.

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
We kiazi umenielewa kweli???

Nimesema huyo jamaa aache UBWANYENYE awe kama KABURU yani akienda kuosha asimamie shoo mwenyewe ...awe in charge wa hiyo kazi.

Sasa unajua kabisa Wamatumbi hawana maana halafu unaleta UBWANYENYE yani UMWINYI MWINYI wa kumuachia gari tena wengine hadi funguo mnawachia kabisa yani ni ubosy bosy tu...


Lazima mpigwe tu.

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Kwel ww ni maandazi , inaonekana na ww unasuport wizi, yaani nikuletee kazi inayokuingizia kipato kisha nianze kukulinda , ndio maana nimekambia wabongo wengi hawajielewi .
Kwa mfumo huu Wa kuhitaji kila kitu tusimamiwe bado tuna safari ndefu Sana aisee
 
Kwel ww ni maandazi , inaonekana na ww unasuport wizi, yaani nikuletee kazi inayokuingizia kipato kisha nianze kukulinda , ndio maana nimekambia wabongo wengi hawajielewi .
Kwa mfumo huu Wa kuhitaji kila kitu tusimamiwe bado tuna safari ndefu Sana aisee
Safari bado ndefu tena sana and the only thing you can do ni kua KABURU. Hiyo nakupa ni "Adhesive"

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
nilishapeleka gari kwenye car wash zaidi ya 5 na zote huwa nawaachia kabisa gari last niliyopeleka niliacha mpaka na hela kwenye droo ya gari lakini nikazikuta
 
Wezi hawana maana,pale ilala kwa makofia kuna siku nilienda kubadilisha bearing ya comp,najua ni wezi japo ni mafundi wazuri,basi wakati nawasimamia ikaingia simu nikaenda kama hatua 5 tu toka kwenye gari na nilitumia kama dk 3 kwenye simu,nikarudi kuwasimamia kazi ikaisha fresh nikawapa chao,dah,ile naondoka sijavuka hata mataa ya boma 🤣🤣,jamaa wezi sana 😄
 
Wezi hawana maana,pale ilala kwa makofia kuna siku nilienda kubadilisha bearing ya comp,najua ni wezi japo ni mafundi wazuri,basi wakati nawasimamia ikaingia simu nikaenda kama hatua 5 tu toka kwenye gari na nilitumia kama dk 3 kwenye simu,nikarudi kuwasimamia kazi ikaisha fresh nikawapa chao,dah,ile naondoka sijavuka hata mataa ya boma [emoji1787][emoji1787],jamaa wezi sana [emoji1]
Ikawaje kabla hujavuka mataa
 
Umechelewa kujua..pole

Hapa mjini hata rafiki yako kuwa nae makini, binadamu wamegeuka kuwa mashetani[emoji848]
 
Gari mimi naosha mwenyewe nikipeleka car wash nasimamia mwanzo-mwsho sitaki utani kabisa
Nilikuwa naosha mwenyewe siku hizi siwezi. Kama unapeleka car wash jitahidi kutoa vitu vya thamani na hela. Pia simamia gari yako usiwaamini waoshaji.
Siku moja nipo car wash kuna magari kadhaa. Vitz ikagoma kuwaka, kulikuwa na Audi pale vijana wa car wash wakataka kuitumia kuboost ile Vitz. Nikawauliza mnaijua vizuri hii gari? Wakabaki wananitolea macho nikawaambia mkipiga shoti hapo hii gari itakuja kubebwa hapa na spare mtaagiza Ujerumani. Wakaacha ile gari.
Ninachotaka kusema hapa wale vijana waosha magari hawathamini chochote pale, kama wewe hujali gari yako na mali zako utalia siku moja kwa kuwaachia gari waoshaji.
 
Back
Top Bottom