90% ya nyumba za Dar miaka ya 2010 rudi nyuma ni hizi, ramani moja tu

90% ya nyumba za Dar miaka ya 2010 rudi nyuma ni hizi, ramani moja tu

Moshi nilikotokea napo nyumba zao ramani zinafanana, hasa nyumba za zamani. Mwanzo ni self contsined kisha vikafuata vyumba kama mabehewa. Mwisho kabisa huwa kuna choo, bafu na ka stoo. Kwa walioishi Moshi wanajua
 
Naona ujenzi unategemea na eneo ndio maana zinakuwa na mfanano
ikifika 2040 nazo zitakuwa old school za Ilala
Kabisa huenda hata nyumba za chini zikapigwa marufuku sababu ya kubana matumizi ya eneo
 
Halafu hata lipu hawapigi ila ukiwakuta kijiweni wanachambua Simba na Yanga Sasa!¡!!!!😄😄😄😄
Au aje mikuani anajifanya katoka New York kumbe anaishi kwenye Pagara
 
Back
Top Bottom