Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Hii ndio Taarifa iliyovuja kutoka kwa Waandaaji wa Maandamano hayo ya Amani, Imedaiwa kwamba ilitumika Akili kubwa ya Watu kusafiri mapema ili kuepuka hujuma za Polisi kwenye siku za mwisho mwisho.
Waandamanaji hao wa Maombolezo ya Waliotekwa, Kuuawa (kifo ni kifo tu) na kupotezwa wameombwa kutokubeba silaha zozote, kutokuvaa sare za CHADEMA, wala kutoweka vifaa vya CHADEMA kwenye Mabegi yao , hii ni kwa sababu Maandamano hayo ya Amani ni ya Kitaifa, yatahusisha wananchi wote.
Pia Waandamanaji kutoka Mikoa yote wameelekezwa kutokujadili siasa kwenye Mabasi waliyomo ili kuepuka mitego ya Mamluki.
Soma Pia:
Taarifa inaeleza kwamba Malundo ya Waandamaji walianza kuwasili tangu siku ya Maulid.
Mungu Ibariki Nchi yetu.

- Freeman Mbowe: Tutaandamana kudai watu waliopotea
- News Alert: - Polisi yapiga marufuku maandamano ya CHADEMA yasema ni haramu. Yasema chama hicho kimekuwa kikipanga mikakati ya kuchochea vurugu