Asante kwa taarifa hii, pili nashauri tuache sensesionalism kwenye serious issues kama hii, hayo malundo ya watu kutoka mikoani kuja tuu kushiriki maandamano, is a big news!, kwasababu inaonyesha ama ni Watanzania wamepata emancipation ya kujitambua kudai haki zao no matter what, na wako tayari kugharimia haki hizo hata kama gharama yake ni machozi, jasho na damu, wako tayari kulipia wako tayari kwa lolote!. Hii ni habari njema sana kwa ukombozi wa pili wa taifa letu.
Lakini pia inawezekana hayo makundi yakawa ni kipimo kizuri cha kiwango cha joblessness ya watu wake, ni mtu tuu asiye na shughuli ya kufanya akipewa nauli ya kwenda popote, atakwenda na yuko tayari kwa lolote, ndio ana muds huo kusafiri kuja kuandamana kwenye maandamano haramu, japo the cause is the right causes?, this being the case, this is very dangerous!.
Ushauri wangu wa kwanza, ni
Ushauri kwa CHADEMA: Japo ni Haki, lakini chondechonde Msiandamane. Mwenye Nguvu Mpishe!
Ila kama hao waandamaji ni Gen Z wetu, nawashauri Jeshi letu la Polisi litumie utaratibu huu kusambaratisha maandamano hayo
Jeshi la polisi likifanya vyema, lipongezwe, hongera FFU kusambaratisha maandamano bila virungu, mabomu ya machozi, risasi za moto, bila maafa!
P