Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jf ni ukumbi wa kuelimishana, tunachojua ni Azory Gwanda alitekwa, kwanza hakuna anayejua sababu za kutekwa kwake wala hakana ajuaye kama aliuwawa!, kama wewe unazijua sababu, please share what you know! Ili na sisi tujue!.
P
🤣🤣🤣Kwaiyo na nyie mpo kama CCM mkiona hamkubaliki mahali manabeba watu kwenye mafuso?
Duh....!.
Asante.
Ubarikiwe sana.
P
Saa ya Ukombozi ni Sasa,
Tumedharauliwa sana,
Tumepuuzwa vya kutosha,
Tumenyanyaswa sana,
Tarehe 23 Sept tunakataa hali hii.
Nami niko njiani na basi la usikuHii ndio Taarifa iliyovuja kutoka kwa Waandaaji wa Maandamano hayo ya Amani, Imedaiwa kwamba ilitumika Akili kubwa ya Watu kusafiri mapema ili kuepuka hujuma za Polisi kwenye siku za mwisho mwisho.
Waandamanaji hao wa Maombolezo ya Waliotekwa, Kuuawa (kifo ni kifo tu) na kupotezwa wameombwa kutokubeba silaha zozote, kutokuvaa sare za CHADEMA, wala kutoweka vifaa vya CHADEMA kwenye Mabegi yao , hii ni kwa sababu Maandamano hayo ya Amani ni ya Kitaifa, yatahusisha wananchi wote.
Pia Waandamanaji kutoka Mikoa yote wameelekezwa kutokujadili siasa kwenye Mabasi waliyomo ili kuepuka mitego ya Mamluki.
Soma Pia:
- Freeman Mbowe: Tutaandamana kudai watu waliopotea
- News Alert: - Polisi yapiga marufuku maandamano ya CHADEMA yasema ni haramu. Yasema chama hicho kimekuwa kikipanga mikakati ya kuchochea vurugu
Taarifa inaeleza kwamba Malundo ya Waandamaji walianza kuwasili tangu siku ya Maulid.
Mungu Ibariki Nchi yetu.
😆😆😆 we jamaa ni njaa tu imekubakisha ccm, haufanani naoUmetumwa nani kuuliza!
Pamoja, nguvu ya umma tutafanya viongozi wa kiserikali walioingia 2019 na 2020 kuanza kuheshimu matakwa ya wananchi ambao ndiyo wenye mamlaka kamili juu ya mustakabali w nchi yetu Tanzania.
Na si vinginevyo viongozi wa kiserikali tuliowaajiri kwa kuwalipa mshahara kutuambia wao wanataka nini.
Ni sisi tuwaambie viongozi wa serikali ya chama dola kongwe CCM kuwa wananchi tuna takanini.
People's Power Nguvu Ya Umma tuingie barabarani kwa wingi ikiwa hawatasikiliza madai yatu wananchi.
Kama wapo wamasai shughulibitskuwa pevu maana haya watu wako moto sanaHii ndio Taarifa iliyovuja kutoka kwa Waandaaji wa Maandamano hayo ya Amani, Imedaiwa kwamba ilitumika Akili kubwa ya Watu kusafiri mapema ili kuepuka hujuma za Polisi kwenye siku za mwisho mwisho.
Waandamanaji hao wa Maombolezo ya Waliotekwa, Kuuawa (kifo ni kifo tu) na kupotezwa wameombwa kutokubeba silaha zozote, kutokuvaa sare za CHADEMA, wala kutoweka vifaa vya CHADEMA kwenye Mabegi yao , hii ni kwa sababu Maandamano hayo ya Amani ni ya Kitaifa, yatahusisha wananchi wote.
Pia Waandamanaji kutoka Mikoa yote wameelekezwa kutokujadili siasa kwenye Mabasi waliyomo ili kuepuka mitego ya Mamluki.
Soma Pia:
- Freeman Mbowe: Tutaandamana kudai watu waliopotea
- News Alert: - Polisi yapiga marufuku maandamano ya CHADEMA yasema ni haramu. Yasema chama hicho kimekuwa kikipanga mikakati ya kuchochea vurugu
Taarifa inaeleza kwamba Malundo ya Waandamaji walianza kuwasili tangu siku ya Maulid.
Mungu Ibariki Nchi yetu.
Sidhani kama kuna tajiri mwenye njaa!😆😆😆 we jamaa ni njaa tu imekubakisha ccm, haufanani nao
KumekuchaHii ndio Taarifa iliyovuja kutoka kwa Waandaaji wa Maandamano hayo ya Amani, Imedaiwa kwamba ilitumika Akili kubwa ya Watu kusafiri mapema ili kuepuka hujuma za Polisi kwenye siku za mwisho mwisho.
Waandamanaji hao wa Maombolezo ya Waliotekwa, Kuuawa (kifo ni kifo tu) na kupotezwa wameombwa kutokubeba silaha zozote, kutokuvaa sare za CHADEMA, wala kutoweka vifaa vya CHADEMA kwenye Mabegi yao , hii ni kwa sababu Maandamano hayo ya Amani ni ya Kitaifa, yatahusisha wananchi wote.
Pia Waandamanaji kutoka Mikoa yote wameelekezwa kutokujadili siasa kwenye Mabasi waliyomo ili kuepuka mitego ya Mamluki.
Soma Pia:
- Freeman Mbowe: Tutaandamana kudai watu waliopotea
- News Alert: - Polisi yapiga marufuku maandamano ya CHADEMA yasema ni haramu. Yasema chama hicho kimekuwa kikipanga mikakati ya kuchochea vurugu
Taarifa inaeleza kwamba Malundo ya Waandamaji walianza kuwasili tangu siku ya Maulid.
Mungu Ibariki Nchi yetu.
Umeandika upumbavu sana na unaendeshwa na mihemko ya kidini, ushabarikiwa? Kwanini Tanganyika haitaki kukubali kuvunja MUUNGANO? Sababu kubwa ya Zanzibar kuwa hivyo ni Tanganyika kuilazimisha kubaki kwenye muungano na Wazanzibari hawataki huu muungano bila ya muungano Zanzibar ingekua imeendelea hakuna mfano. Maandamano pekee nitakayo shiriki ni yale ya kutaka muungano uvunjwe! Na ipo siku muungano utavunjwa tu mtake msitake ilikua Soviet union, Rome sembuse kijitanganyika??Ngosha wewe ni mtu mwema na mwandishi wa habari wa mrengo wa kati.
Usifungamane na uovu.
Azori Gwanda alisharest in pisi siku nyingi sana. Ngoja niishie hapo. Any way tulishambiwa kifo ni kifo tu. Na kuzikwa ni kuzikwa tu hata ukitupwa porini kwenye mbuga za wanyama ukaokotwa na waokota kuni na kuzikwa bila uchunguzi ni kifo tu. Tusipoondoa huo usemi amini usiamini hata wewe uko siku utatekwa kwa sababu tu ya kugombania mwanamke na mtu akaamua kukusinguzia kuwa wewe ni Chadema na unamsema vibaya mamalia na unahatarisha amani ya nchi. Yaani mtu mmoja amekua ndiyo nchi kumsema vibaya umeasi nchi . Huu sio uzalendo kabisa .Ikitokea Vita na nchi nyingine tutapigwa vibaya mana kuna watakao sema hayo ni ya serikali hayaruhusu. Ndio maana tunaona jinsi unyama inavyoongezeka . Ni roho kamili imeingizwa Tanganyika. Watu wasiokua na maadili ya uvumilivu wa kidini na kikabila na kisiasa walivamia Tanganyika kwa pesa za Dubai. Kule hata ukitaka kujenga kanisa hupewi kiwanja. Ukila chakula wakati wa mfungo unapigwa sana . Ni jamii isiyostahili kabisa kutawala Tanganyika ambapo watu wa dini tofauti wanaoana na kuishi kwa amani maisha yote bila kugombana . Msikiti na kanisa vinajengwa jirani na watu wanasali na kuswali bila kanisa au msikiti kuchomwa moto.
Watu waliomuua Rais wao wa wa kwanza hawana huruma na mtu . Hata kwa sura tu alitoa hotuba ya kinyama na kuwafurahisha wasiojulikana kama vile alijua kuwa anaongea nao labda ni wahusika na hataki kuwapunguzia makali.
RIP Azori Gwanda .
Kufuatilia taarifa za mauaji ni jambo gumu sana.
Boni mayai yupo kilengoni . Na kwa amri ya mamalia watauawa sana .
Bora wauawe hadharani mana watapigwa risasi moja lakini wakitekwa watatesa na kuuawa kikatili sana na maiti zao huenda zisionekane milele.
Kikiendelea kumtofautisha Huyu Tofauti na yule mzalendo ni kuwa mzalendo alidili na majambazi sugu yaliyokuwa yanavunja mabenki na kupata pesa za kufadhili ugaidi , wauza madawa waliokua pia wanafadhili ugaidi. Lakini pia yule mzalendo alidili na wale wote waliokua wanapotosha juhudi zake za kuzuia rasilimali za nchi zisiibiwe na wageni. Kwa kweli alidhibiti sana mpaka tembo wakawa wengi kama nguchiro . Mzalendo aliyeenda zake aliipenda sana Tanganyika na watu wake na rasilimali zake ndio maana alikua anajua karibu lugha za makabila yote.
Dalali yeye anapenda kiti chake tu na ndugu zake basi. Ndio maana alilaani mauaji mara ya kwanza na kuonyesha kuguswa . Lakini aliposikia Salimia must go . Alijitokeza kala mbogo na kusema kifo ni kifo tu. Bora watu wafe kuliko kuachia kiti chake
Ni bora Mbowe na wafuasi wake
Mzee Baba maandamano comes on 23rd Sept. 2024 hayatakuwepo.Hii ndio Taarifa iliyovuja kutoka kwa Waandaaji wa Maandamano hayo ya Amani, Imedaiwa kwamba ilitumika Akili kubwa ya Watu kusafiri mapema ili kuepuka hujuma za Polisi kwenye siku za mwisho mwisho.
Waandamanaji hao wa Maombolezo ya Waliotekwa, Kuuawa (kifo ni kifo tu) na kupotezwa wameombwa kutokubeba silaha zozote, kutokuvaa sare za CHADEMA, wala kutoweka vifaa vya CHADEMA kwenye Mabegi yao , hii ni kwa sababu Maandamano hayo ya Amani ni ya Kitaifa, yatahusisha wananchi wote.
Pia Waandamanaji kutoka Mikoa yote wameelekezwa kutokujadili siasa kwenye Mabasi waliyomo ili kuepuka mitego ya Mamluki.
Soma Pia:
- Freeman Mbowe: Tutaandamana kudai watu waliopotea
- News Alert: - Polisi yapiga marufuku maandamano ya CHADEMA yasema ni haramu. Yasema chama hicho kimekuwa kikipanga mikakati ya kuchochea vurugu
Taarifa inaeleza kwamba Malundo ya Waandamaji walianza kuwasili tangu siku ya Maulid.
Mungu Ibariki Nchi yetu.
Hiyo sentence ya "msiandamane mwenye nguvu mpishe" sio sahihi hata kidogo.Asante kwa taarifa hii, pili nashauri tuache sensesionalism kwenye serious issues kama hii, hayo malundo ya watu kutoka mikoani kuja tuu kushiriki maandamano, is a big news!, kwasababu inaonyesha ama ni Watanzania wamepata emancipation ya kujitambua kudai haki zao no matter what, na wako tayari kugharimia haki hizo hata kama gharama yake ni machozi, jasho na damu, wako tayari kulipia wako tayari kwa lolote!. Hii ni habari njema sana kwa ukombozi wa pili wa taifa letu.
Lakini pia inawezekana hayo makundi yakawa ni kipimo kizuri cha kiwango cha joblessness ya watu wake, ni mtu tuu asiye na shughuli ya kufanya akipewa nauli ya kwenda popote, atakwenda na yuko tayari kwa lolote, ndio ana muds huo kusafiri kuja kuandamana kwenye maandamano haramu, japo the cause is the right causes?, this being the case, this is very dangerous!.
Ushauri wangu wa kwanza, ni Ushauri kwa CHADEMA: Japo ni Haki, lakini chondechonde Msiandamane. Mwenye Nguvu Mpishe!
Ila kama hao waandamaji ni Gen Z wetu, nawashauri Jeshi letu la Polisi litumie utaratibu huu kusambaratisha maandamano hayo Jeshi la polisi likifanya vyema, lipongezwe, hongera FFU kusambaratisha maandamano bila virungu, mabomu ya machozi, risasi za moto, bila maafa!
P
Nisamehe mimi, nisamehe mimi nimekosa sana!Wewe mtoto wa kahaba , angekuwa ni baba yako kauawa na kutoboloewa macho baada ya kutekwa au angekuwa ni ndugu yako wa karibu katekwa na keplekwa kusulubiwa huko bila kujulikana alipo na pengine kuawa kabisa maporini huko baada ya kutekwa na kuteswa
Ungeandika huu useng£ wako hapa kama ulivoandika ?
Baba yako bora angepiga nyeto bafuni