Tetesi: 90% ya Waandamanaji kutoka Mikoani wamewasili Dar es Salaam, Waliosalia ambao wengi wataingia Jumamosi wameombwa kutokuvaa sare za CHADEMA safarini

Taifa linaenda kupona.
Nimeona Watanzania wametawanyika nyikani bila kiongozi.

Maandamano haya siyo ya CHADEMA, ni maandamano ya Wananchi.

Mungu atapokea kilio cha Watanzania
Mimi kama panya nasikilizia, nione atakaejitokeza kumfunga paka kengele.
 
Tunavyoelekea naona Chadema kufutwa na msajili.
Busara itumike Viongozi wa Chadema wakasitisha maandamano,na waje na plan nyingine isiyogusa mamlaka moja kwa moja.
 
Tunavyoelekea naona Chadema kufutwa na msajili.
Busara itumike Viongozi wa Chadema wakasitisha maandamano,na waje na plan nyingine isiyogusa mamlaka moja kwa moja.
Ni heri kufutwa kuliko kuuawa na kumwagiwa tindikali
 
Wewe ni mtu muovu sana.
 
🚮
 
Wewe ni mtu muovu sana.
Hapana mimi ni mtu mwema sana.

Shida ya watanzania ni kutoelewa there are rules in life.

Rukes zenyewe zinaweza kuwa kwenye sheria, social boundaries (how we interact with each other), morality, political etiquette, attitude towards success and being realistic and etc.

Watanzania hawana uelewa huo, hawatambui boundaries, someone has to sort that.

Uwezi kuamka asubuhi tu kutengeneza narrative yako, halafu ushutumu watu without strong evidence na kutumia upepo uliojijaza mwenyewe na gullible audience yako kuchukua hatua za hovyo. Halafu watu timamu wakuunge mkono.

CDM lazima wafundishwe mipaka yao ya siasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…