Tetesi: 90% ya Waandamanaji kutoka Mikoani wamewasili Dar es Salaam, Waliosalia ambao wengi wataingia Jumamosi wameombwa kutokuvaa sare za CHADEMA safarini

Tetesi: 90% ya Waandamanaji kutoka Mikoani wamewasili Dar es Salaam, Waliosalia ambao wengi wataingia Jumamosi wameombwa kutokuvaa sare za CHADEMA safarini

Taifa linaenda kupona.
Nimeona Watanzania wametawanyika nyikani bila kiongozi.

Maandamano haya siyo ya CHADEMA, ni maandamano ya Wananchi.

Mungu atapokea kilio cha Watanzania
Mimi kama panya nasikilizia, nione atakaejitokeza kumfunga paka kengele.
 
Kumbe waandamanaji ni wa kukodiwa isije kuwa mmewaleta wakimbizi kuja kuandamana mkasema ni wananchi
Rejea hotuba ya mwisho ya mchungaji Mtikila
 

Attachments

  • 20240922_155031.jpg
    20240922_155031.jpg
    99.9 KB · Views: 1
Tunavyoelekea naona Chadema kufutwa na msajili.
Busara itumike Viongozi wa Chadema wakasitisha maandamano,na waje na plan nyingine isiyogusa mamlaka moja kwa moja.
 
Tunavyoelekea naona Chadema kufutwa na msajili.
Busara itumike Viongozi wa Chadema wakasitisha maandamano,na waje na plan nyingine isiyogusa mamlaka moja kwa moja.
Ni heri kufutwa kuliko kuuawa na kumwagiwa tindikali
 

View: https://m.youtube.com/watch?v=WH-3qniTLEk&pp=ygU6UG9saXNpIHdhdGFuZGEga3V6dWlhIG1hYW5kYW1hbm8ga2lwaW5kaSBjaGEgdWNoYWd1emkgMjAxNA%3D%3D


View: https://m.youtube.com/watch?v=__R1rETaCDA&pp=ygU6UG9saXNpIHdhdGFuZGEga3V6dWlhIG1hYW5kYW1hbm8ga2lwaW5kaSBjaGEgdWNoYWd1emkgMjAxNA%3D%3D

Nchi ilivyokuwa zama za Jakaya Kikwete, ndio akushauri kuongoza nchi.

Bila ya Magufuli kuwatuliza wapinzani hali ingekuwa mbaya zaidi.

Unaambiwa baki hapo hapo, hiyo kazi sio rahisi na lawama katika maamuzi magumu ayakwepeki. Anadhani anaweza furahisha kila mtu.

Wewe ni mtu muovu sana.
 
Huo ndio ukweli kabisa ulioko mioyoni mwenu na sasa umeuweka wazi .
Siku zote mnajaribu kutumia dini kuwadanganya waafrika kwamba nao eti ni sawa na nyie lakini ukweli ndio huo uliouweka wazi na Wote mmelelewa hivyo na mna imani hiyo.
Lakini umesahau kuwa Waarabu wa kweli ni Wasaudia ambao ni kizazi cha Ishmaili ambaye mama yake alikua ni mwafrika toka Misri. Wakati huo hapakuwa na kizazi cha waarabu Afrika.
Watumwa walikua ni watu weusi kama ilivyo karne hii kwa hiyo Hajira pia alikua ni mtumwa au kijakazi .
Na huko ndiko alikotoka Mtume Mohamad S.W.A mjukuu wa Ibrahim aliyekua amezaa na Mwafrika wakatokea waarabu .

Sasa kuwakashifu na kuwatweza waafrika ni upumbavu na laana toka kwa babu yako Ibrahim na Ishmaili na bibi yako Hijira na Mtume Mohamed na Allah. Wote hao watakulaani vikali .
Unaonekana ni kwa jinsi gani ulivyo na roho mbaya wewe muajemi muarabu koko .
Wema wetu sisi waafrika ndio unaotuponza .

Hata Mwenyezi Mungu aliwathamini sana waafrika ndio maana akawapa roho nzuri ya ukarimu na bara zuri lenye ardhi nzuri na sasa linalogombaniwa na dunia nzima na shetani wao.
Sasa tumeamka wakati nyie mnabaki kutumia rushwa na kuua ili mpate nafasi na utajiri sisi tumeanza kuwakataa watawala wala rushwa ili mkose nafsi ya kupora rasilimali zetu .
Hamuwezi kuja kutuua na mali zetu na ardhi yetu . Rushwa manayowapa watawala ipo siku itawatokea puani .

Mnakaribishwa kwa wema mnageuka kuwa wauaji kama shangazi yenu mwarabu koko wenu amepewa ukuu kwa nasibu halafu anageuka kuwa dikteta na kuua Watanganyika ili ardhi hii wapewe waajemi wa Dubai ambao pia ni waarabu koko.

Hata Shangazi mwarabu koko wenu mmempandikizia roho mbaya kwa sababu ndiyo asili yenu waarabu koko mnachinjana kama kuku kugombea hata kile msichokiona kama pepo. Yaani hamjui hata hiyo pepo au ahera iko wapi halafu mnaigombania na kuuana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.
Je,mngeijenga nyie ingekuwaje ?

Waarabu koko wanatumia dini kuleta mauaji duniani na kwa ufadhili wa Mabasha wao Wazungu.

Waarabu ndio walioleta ushoga Duniani na kuwashirikisha marafiki zao na Wakoloni wenzao Wazungu sasa wanatumia pesa kuleta ugaidi Afrika. Wamasai wamekataa ushoga mnatoa pesa ili wafukuzwe kwenye ardhi yao . Hiyo ndiyo raha ya mwafrika anajua ubora wa binadamu sio makaratasi yanayoitwa pesa wala majumba marefu bali ni ile asili inayomzunguka na utu wake na ubinadamu. Waafrika hatukuwa na shida na hayo mavitu ya kutengeneza maana mazingira yetu ya asili yalikua yanapendeza na yana hewa nzuri na mazingira mazuri yaliyojaa viumbe wazuri na mito yanye maji safi na matunda ya kila aina .

Waarabu walipokuja na mila na dini zao za kikatili na roho mbaya na Baadae wakafuatwa na Mabasha wao Wazungu ndio walioharibu bara letu mpaka sasa limekua ni bara la kumwaga damu na kutafuta riziki kwa hila nyingi na ubinafsi mwingi .

Ipo siku tutaachana na mila zenu na dini zenu ili turekee kwenye bustani yetu ya Afrika na asili yetu.
🚮
 
Wewe ni mtu muovu sana.
Hapana mimi ni mtu mwema sana.

Shida ya watanzania ni kutoelewa there are rules in life.

Rukes zenyewe zinaweza kuwa kwenye sheria, social boundaries (how we interact with each other), morality, political etiquette, attitude towards success and being realistic and etc.

Watanzania hawana uelewa huo, hawatambui boundaries, someone has to sort that.

Uwezi kuamka asubuhi tu kutengeneza narrative yako, halafu ushutumu watu without strong evidence na kutumia upepo uliojijaza mwenyewe na gullible audience yako kuchukua hatua za hovyo. Halafu watu timamu wakuunge mkono.

CDM lazima wafundishwe mipaka yao ya siasa.
 
Back
Top Bottom