Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,507
- 11,367
Hii nchi jamani, yaani hii tume useless ata aibu haina, Kwa kilichotokea MO29 unaanzaje kupoteza muda kufanya investigation Kwa kuwahoji kina
Majaliwa
Nape Nauye
Chalamila
Dr.Mpango
Makalla
Wassira
Jaji Mtungi
Ma polisi
Hivi hii nchi ina viongozi wenye akiri kweli? Yaani unafanya investigation za kutuliza joto la hii crisis afu unawaoji machawa na watumishi wako, then unadhani repoti ya hii tume itakubaliwa na jamii ya ndani na ya kimataifa.
Hao kina Majaliwa kwenye MO29 walikuwa wamejifungia then unawaoji wakupe data zipi za Mo29.
Tume ya jaji Othman ni completely rubbish.