Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,507
- 11,367
muhimu zaidi ni kwamba wanahojiwa ni waTanzania,Hii nchi jamani, yaani hii tume useless ata aibu haina, Kwa kilichotokea MO29 unaanzaje kupoteza muda kufanya investigation Kwa kuwahoji kina
Majaliwa
Nape Nauye
Chalamila
Dr.Mpango
Makalla
Wassira
Jaji Mtungi
Ma polisi
Hivi hii nchi ina viongozi wenye akiri kweli? Yaani unafanya investigation za kutuliza joto la hii crisis afu unawaoji machawa na watumishi wako, then unadhani repoti ya hii tume itakubaliwa na jamii ya ndani na ya kimataifa.
Hao kina Majaliwa kwenye MO29 walikuwa wamejifungia then unawaoji wakupe data zipi za Mo29.
Tume ya jaji Othman ni completely rubbish.
PusyHao mnaohisi wanastahili kuhojiwa na hawajahojiwa muwapeleke ili wahojiwe.
Pusymuhimu zaidi ni kwamba wanahojiwa ni waTanzania,
mtu akijiskia vibaya kuhusu hilo ni chuki binafsi nonsense tu
Munjing'a weemuhimu zaidi ni kwamba wanahojiwa ni waTanzania,
mtu akijiskia vibaya kuhusu hilo ni chuki binafsi nonsense tu
Hao ni wafua boxers wa kibaka KihongosiMunjing'a wee
relax lofaMunjing'a wee
Wakahoniwe na wahuni?Hao mnaohisi wanastahili kuhojiwa na hawajahojiwa muwapeleke ili wahojiwe.
Pusyrelax lofa
Aisee kazi ipoHii nchi jamani, yaani hii tume useless ata aibu haina, Kwa kilichotokea MO29 unaanzaje kupoteza muda kufanya investigation Kwa kuwahoji kina
Majaliwa
Nape Nauye
Chalamila
Dr.Mpango
Makalla
Wassira
Jaji Mtungi
Ma polisi
Hivi hii nchi ina viongozi wenye akiri kweli? Yaani unafanya investigation za kutuliza joto la hii crisis afu unawaoji machawa na watumishi wako, then unadhani repoti ya hii tume itakubaliwa na jamii ya ndani na ya kimataifa.
Hao kina Majaliwa kwenye MO29 walikuwa wamejifungia then unawaoji wakupe data zipi za Mo29.
Tume ya jaji Othman ni completely rubbish.
Fala wewe Msomi Tapeli.muhimu zaidi ni kwamba wanahojiwa ni waTanzania,
mtu akijiskia vibaya kuhusu hilo ni chuki binafsi nonsense tu