90% ya Watanzania hawafahamu kama ziwa Tanganyika kuna Submarine kubwa sana

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Kama sio mfuatiliaji wa mambo au mvuvi unayefika kina kirefu ndani ya ziwa Tanganyika huwezi kujua hii inshu.
Siku moja saa 8 usiku tulikuwa tuko katikati tunarekebisha nyavu, tukakutana na submarine nadhani walikuwa wanajaza mafuta.

Ilikuwa ni kubwa sana japo kuwa asilimia kubwa ya chombo ilikuwa ndani ya maji.
Karibuni sana Kigoma wadau wa maendeleo.
 
Ilikuwa submarine ya kijeshi au raia?
Kama ni ya kijeshi ingesaidia kupiga kikundi cha M23,ingekuwa ina launch misiles na kupiga kwenye targets za M23 bila kusumbua majeshi yetu.
 
Sasa bongo iwe na submarine kwa kazi gani? Mmezidisha sana ushirikina hadi mnaona mauza uza huko ziwani. Au pia ulisikia kutoka kwa wenzako huko wakisimuliana kwenye vijiwe vyenu vya umbea.
 
Itakuwa ya kiongozi wa chama cha zambarau au tumbiri
 
acha wenge mkuu
 
Labda Kidono Tu, Ziwa Tanganyika Haa
 
 
MSAGA SUMU Kwenye 1 & 2. Lols
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…