Hata mi nashangaa ati.Kipi cha ajabu hapo?
Hizi NGO zinaokota issues tu.Hata mi nashangaa ati.
Maana ndo hali halisi wote twaijua, ajabu nini sasa?Hizi NGO zinaokota issues tu.
Sure. Lengo lao sijui lilikua ni nini?Maana ndo hali halisi wote twaijua, ajabu nini sasa?
Ndo maana Mkapa alikua anawadharau Hawa jamaa wanojiita NGO's na Waandishi wa habari uchwaraUlitaka watembee Kwa kichwa?