Okay nitakulea source ya habari usijalikenyan walstreet isnt even an organization....hao ni majamaa au jamaa mmoja amekaa akafungua twitter account akaanza kuandika vitu pale..hata mimi naweza fungua Twitter account sasa hivi...besides, which study have they carried out to substantiate these assertions? hata world bank, IMF, KCB na kadhalika huwa wanafanya reserach surveys before making any claims na hao ndio wataalamu...one man's opinion doesnt amount to a study..organization za kuaminika zina certified twitter accounts...
wachana na hao wakora
Duh! mnajidai kumbe 97% ya watu wenu ni poor.Only 3% of Kenyans control the economy the rest are poor.
Wanaishi kwa kubatisha. Muda wowote wanakata roho
Check out @kenyanwalstreetβs Tweet:
Kawaida yao. Wanapenda kunukuu wakenya bila ya kujali wanachokinukuu. Ni sawa tu na mtu akinukuu comment hapa jf alafu aipeleke kule twitter. Kwa mfano mimi nije niseme 0.5% ya watanzania wana chini ya hiyo KES 100,000 kwenye akaunti zao. Au ukipenda Tzshs 2,200,000! πππ Haya basi hii nayo ni fact. Kazi kwenu!nilidhani figures za World Bank au IMF...kumbe source ni Kenyanwallstreetππππ while I agree that there are extreme cases of poverty in Kenya, I think this figure is a joke...hata nchi maskini kama Uganda na tz sidhani wamefikia hapo
Nawewe bado unalalamika?? Nawapatia main sourceKawaida yao. Wanapenda kunukuu wakenya bila ya kujali wanachokinukuu. Ni sawa tu na mtu akinukuu comment hapa jf alafu aipeleke kule twitter. Kwa mfano mimi nije niseme 0.5% ya watanzania wana chini ya hiyo KES 100,000 kwenye akaunti zao. Au ukipenda Tzshs 2,200,000! πππ Haya basi hii nayo ni fact. Kazi kwenu!
Sasa nie ni 97%With over 6 million people living in slums, slum dwellers make up more than two- thirds of its urban population. Other UN reports estimate that in fact 92% of Tanzania's urban population live in slum conditions &[HASHTAG]#8211[/HASHTAG]; more ...
Hamster nataka nianze kwa ukusaidia wewe. Hapo Kenya hali ni ngumu sana. You even said your unemployed. Nitauza moja ya Gold bar nikusaidie wewe. Nifate inbox tuma number yako ya account i will send you $200,000/= . Am so serious. Let me do my charity work to KenyansView attachment 723408
Eti main source, ya mto au? All systems working, is a lie on your part. Something is very wrong somewhere. πNawewe bado unalalamika?? Nawapatia main source
Chunga, huyo jamaa ni conman anajifanya mnigeria, 'prince' eti, na dhahabu zake zimekwama pale Arusha kwasababu ya barabara mbovu. Eti utingo wa trela yake analeta mali na pikipiki, sports bike ambayo alimuazima yeye. πππ Alafu eti utume zile hela chap chap yupo kwenye stendi anangoja chopa yake! πππUko serious ama ni utani? AAngaliainbox bbasi
πππ Kula chipsi mayai!Algeria 5 - 1 Tanzania. kapombe kalewa uwanjani na kujifunga own goal. Kusema tu ukweli ni nini Watanzania 55millioni wanaeza fanya na kufanikiwa?
no doubt Kenyan have same poverty rate with burundian everybody knowskenyan walstreet isnt even an organization....hao ni majamaa au jamaa mmoja amekaa akafungua twitter account akaanza kuandika vitu pale..hata mimi naweza fungua Twitter account sasa hivi...besides, which study have they carried out to substantiate these assertions? hata world bank, IMF, KCB na kadhalika huwa wanafanya reserach surveys before making any claims na hao ndio wataalamu...one man's opinion doesnt amount to a study..organization za kuaminika zina certified twitter accounts...
wachana na hao wakora
Ww tuletee percent unayoifaham, otherwise hayo ni maneno matupukenyan walstreet isnt even an organization....hao ni majamaa au jamaa mmoja amekaa akafungua twitter account akaanza kuandika vitu pale..hata mimi naweza fungua Twitter account sasa hivi...besides, which study have they carried out to substantiate these assertions? hata world bank, IMF, KCB na kadhalika huwa wanafanya reserach surveys before making any claims na hao ndio wataalamu...one man's opinion doesnt amount to a study..organization za kuaminika zina certified twitter accounts...
wachana na hao wakora
Naona unafuta hoja kwa kutafuta hoja nyingine...With over 6 million people living in slums, slum dwellers make up more than two- thirds of its urban population. Other UN reports estimate that in fact 92% of Tanzania's urban population live in slum conditions &[HASHTAG]#8211[/HASHTAG]; more ...
Naona unafuta hoja kwa kutafuta hoja nyingine...With over 6 million people living in slums, slum dwellers make up more than two- thirds of its urban population. Other UN reports estimate that in fact 92% of Tanzania's urban population live in slum conditions &[HASHTAG]#8211[/HASHTAG]; more ...
And sniffing our smelly arses everyday. Man I would hate to be in such a smelly situation.πππ Kula chipsi mayai!
Hata yangu ni hoja na tunaweza iangazia.Naona unafuta hoja kwa kutafuta hoja nyingine...
yet kenya is twice as rich as tzππππ....no doubt Kenyan have same poverty rate with burundian everybody knows
sasa mimi niwaletee source ila ni nyinyi mlioanza uzi?πππ I challenged the one who opened the thread to bring data from World Bank or IMF or any other recognized organization that has conducted a study...Pindi atakapoleta nitamwaminiWw tuletee percent unayoifaham, otherwise hayo ni maneno matupu
Ambayo hayavunji mfupa wa hii tafiti ndogo ya Walstreet