97% of Kenyans are poor

97% of Kenyans are poor

kenyan walstreet isnt even an organization....hao ni majamaa au jamaa mmoja amekaa akafungua twitter account akaanza kuandika vitu pale..hata mimi naweza fungua Twitter account sasa hivi...besides, which study have they carried out to substantiate these assertions? hata world bank, IMF, KCB na kadhalika huwa wanafanya reserach surveys before making any claims na hao ndio wataalamu...one man's opinion doesnt amount to a study..organization za kuaminika zina certified twitter accounts...
wachana na hao wakora
Okay nitakulea source ya habari usijali
 
nilidhani figures za World Bank au IMF...kumbe source ni Kenyanwallstreet😀😀😀😀 while I agree that there are extreme cases of poverty in Kenya, I think this figure is a joke...hata nchi maskini kama Uganda na tz sidhani wamefikia hapo
Kawaida yao. Wanapenda kunukuu wakenya bila ya kujali wanachokinukuu. Ni sawa tu na mtu akinukuu comment hapa jf alafu aipeleke kule twitter. Kwa mfano mimi nije niseme 0.5% ya watanzania wana chini ya hiyo KES 100,000 kwenye akaunti zao. Au ukipenda Tzshs 2,200,000! 😀😀😀 Haya basi hii nayo ni fact. Kazi kwenu!
 
With over 6 million people living in slums, slum dwellers make up more than two- thirds of its urban population. Other UN reports estimate that in fact 92% of Tanzania's urban population live in slum conditions &[HASHTAG]#8211[/HASHTAG]; more ...
 
Nawewe bado unalalamika?? Nawapatia main source
 
With over 6 million people living in slums, slum dwellers make up more than two- thirds of its urban population. Other UN reports estimate that in fact 92% of Tanzania's urban population live in slum conditions &[HASHTAG]#8211[/HASHTAG]; more ...
Sasa nie ni 97%
 
Uko serious ama ni utani? AAngaliainbox bbasi

Hamster nataka nianze kwa ukusaidia wewe. Hapo Kenya hali ni ngumu sana. You even said your unemployed. Nitauza moja ya Gold bar nikusaidie wewe. Nifate inbox tuma number yako ya account i will send you $200,000/= . Am so serious. Let me do my charity work to KenyansView attachment 723408
 
Uko serious ama ni utani? AAngaliainbox bbasi
Chunga, huyo jamaa ni conman anajifanya mnigeria, 'prince' eti, na dhahabu zake zimekwama pale Arusha kwasababu ya barabara mbovu. Eti utingo wa trela yake analeta mali na pikipiki, sports bike ambayo alimuazima yeye. 😀😀😀 Alafu eti utume zile hela chap chap yupo kwenye stendi anangoja chopa yake! 😀😀😀
 
Algeria 5 - 1 Tanzania. kapombe kalewa uwanjani na kujifunga own goal. Kusema tu ukweli ni nini Watanzania 55millioni wanaeza fanya na kufanikiwa?
 
kenyan walstreet isnt even an organization....hao ni majamaa au jamaa mmoja amekaa akafungua twitter account akaanza kuandika vitu pale..hata mimi naweza fungua Twitter account sasa hivi...besides, which study have they carried out to substantiate these assertions? hata world bank, IMF, KCB na kadhalika huwa wanafanya reserach surveys before making any claims na hao ndio wataalamu...one man's opinion doesnt amount to a study..organization za kuaminika zina certified twitter accounts...
wachana na hao wakora
no doubt Kenyan have same poverty rate with burundian everybody knows
 
kenyan walstreet isnt even an organization....hao ni majamaa au jamaa mmoja amekaa akafungua twitter account akaanza kuandika vitu pale..hata mimi naweza fungua Twitter account sasa hivi...besides, which study have they carried out to substantiate these assertions? hata world bank, IMF, KCB na kadhalika huwa wanafanya reserach surveys before making any claims na hao ndio wataalamu...one man's opinion doesnt amount to a study..organization za kuaminika zina certified twitter accounts...
wachana na hao wakora
Ww tuletee percent unayoifaham, otherwise hayo ni maneno matupu

Ambayo hayavunji mfupa wa hii tafiti ndogo ya Walstreet
 
With over 6 million people living in slums, slum dwellers make up more than two- thirds of its urban population. Other UN reports estimate that in fact 92% of Tanzania's urban population live in slum conditions &[HASHTAG]#8211[/HASHTAG]; more ...
Naona unafuta hoja kwa kutafuta hoja nyingine...
 
sasa mimi niwaletee source ila ni nyinyi mlioanza uzi?😀😀😀 I challenged the one who opened the thread to bring data from World Bank or IMF or any other recognized organization that has conducted a study...Pindi atakapoleta nitamwamini
 
Back
Top Bottom