99% ya Viongozi, Mabosi Ofisini, Matajiri na Watu maarufu 'Wanarogwa' sana na mno na 'Chawa' wao

99% ya Viongozi, Mabosi Ofisini, Matajiri na Watu maarufu 'Wanarogwa' sana na mno na 'Chawa' wao

Kumsikiliza mtu ambaye.

Si ndugu yako,si mshauri wako kibiashara,si mbia wako kibiashara,si mwanansheria wako,si mtendaji wako kibiashara,si mkeo wala hawala yako,si basha wako[emoji16][emoji16]

Ni unga mweusi tu umetumika hapo.
 
Kuna chawa mmoja huyo anamloga boss wake mpk huruma yaani yaani anachitaka boss anatoa tu haulizi mara mbili[emoji23]
 
Wabongo wengi mnaamini sana uchawi na kurogana.

Hakuna uchawi duniani, unakuta mfanyabiashara anaeuza viberiti na mafuta ya korie nae anaenda kwa waganga! Ajabu sana halafu njoo uone hao wafanyabiashara kama kwenye rekodi za forbes wamo hakuna kitu, wakati wenzao wanawekeza kwenye tafiti za shughuli zao na kufanya marketing kwa ukubwa wao wanahangaika na waganga maskini, mganga maskini, watoto wake maskini leo akupe utajiri wewe mpita njia asiekufahamu aache kujipa utajiri yeye mwenyewe, ujinga mzigo
 
Back
Top Bottom