Hakuna uchawi duniani, unakuta mfanyabiashara anaeuza viberiti na mafuta ya korie nae anaenda kwa waganga! Ajabu sana halafu njoo uone hao wafanyabiashara kama kwenye rekodi za forbes wamo hakuna kitu, wakati wenzao wanawekeza kwenye tafiti za shughuli zao na kufanya marketing kwa ukubwa wao wanahangaika na waganga maskini, mganga maskini, watoto wake maskini leo akupe utajiri wewe mpita njia asiekufahamu aache kujipa utajiri yeye mwenyewe, ujinga mzigo