Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Kwema Wakuu!
Kijana ambaye upo 17-25 hawa wanawake wanaokusumbua Muda huu na kukatalia kuwa hawakutaki. Baada ya Miaka kumi ijayo utakapopata Mkeo utagundua kuwa wanawake waliokukatalia hawakuwa wazuri kiasi hicho isipokuwa ni balehe na nyege ndio zilizokuwa zinakuendesha.
Kwa Sisi kaka zenu tunaushahidi na Jambo hili.
Wale wanawake waliotusumbua tukiwa miaka 15-25 tukikutana nao sasa hivi tunamshukuru Mungu kwa wao kutukatalia na wale waliotukubalia tunamshukuru hatukuwaoa.
Mwanamke mzuri huwezi Mjua wakati ukiwa unabalehe au upo under 25 kwani utakuwa unaendeshwa na nyege kwa sehemu kubwa na macho yako hayatakuwa na mzani mzuri wa kupimia uzuri wa mwanamke.
Macho ya kijana huweza kuona kwa usahihi mwanamke mzuri kuanzia ukiwa na Miaka 30 hivi na kama utakuwa huendeshwi na hisia sana basi kuanzia miaka 25.
Sio ajabu wanaume wengi wakikutana na wadada waliowaona wakali Kipindi wanasoma sekondari hushangaa kuwakna wamekuwa wabovu na hawana ule uzuri waliokuwa wanauona.
Uchunguzi huu unaleta matokeo kuwa vijana wengi waliooa wakiwa na chini ya miaka 25 huanza kuwaona Wake zao sio wazuri na kuwachukia wakifika 30+.
Nasisitiza, vijana; kama upo below 25 alafu wanawake wanakukatalia shukuru Mungu Sana kwa sababu ukifika 30 siku ukioa utagundua Mkeo ambaye ni age mate na wale mademu waliokukatalia amewaacha mbali Mno kwa uzuri.
Be honourable