Trainee
JF-Expert Member
- Sep 22, 2018
- 2,660
- 3,501
Propaganda at its best
Jueni tu ya kwamba huyo mnayemtukana ndiye mtetezi wenu now and ever! Kwahiyo iko siku tu mtalia na kusaga meno iwe ni hapahapa duniani (na hii ndo itakuwa salama yenu) au baada ya kufa (na hii ni mbaya sana mola aepushie mbali)