Kuna mkenya alibisha kuwa haiwezi kutua😀😀 Engineer fake upo ?? Haibu kwenu wakenya.Check out @WizaraUUM’s Tweet:
[HASHTAG]#JNIA[/HASHTAG],Airbus A380 ya kampuni ya Emirates yatua kwa dharura JNIA baada ya kushindwa kutua Mauritius kutokana na hali mbaya ya hewa.
Kukamilika kwa TB III jengo hilo linauwezo wa kuhudumia ndege kama hii ambayo inabeba takribani abiria 500 pamoja na wahudumu wa ndege.
Mwishoni mwa mwaka huu ndio linatakiwa kukamilika na kuanza kutumika ambapo mipango baada ya kukamilika ni kufanya ukarabati tb II ili litakapokamilika tb II itumike kwa abiria wa nchini na tb III iwe kwa ajili ya wasafiri wanokwenda nje ya nchi @TanzaniaAirport
Check out @WizaraUUM’s Tweet: