Echolima
JF-Expert Member
- Oct 28, 2007
- 3,824
- 2,079
Send-Over!!!!!!!!!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Send-Over!!!!!!!!!!!!
Sidhani kama waafrika tuna akili tofauti na watu weupe au wazungu. Nachoona ni wenzetu waliwahi kustaarabika na kuendelea kabla yetu na waliweza kugundua vingi kabla yetu hivi hapo ndipo walipotuzidi.
Ila kama ubaguzi usipokuwepo kabisa duniani na mtoto wa kiafrika na kizungu akakuzwa katika mazingira sawa utakuta akili zao zinafanya kazi sawa. Mfano ni mashirika kama FBI ambapo kuna watu weupe na weusi na wote wanapiga mzigo sawa sema kutokana na ubaguzi mweupe atafanywa awe kiongozi wa mweusi
Kwanza kabisa wazungu hawajatuletea dini. Tulikuwa na dini kabla hawajafika kwetu.Ndio. Kumfanya mtu mwenzako mtumwa ni kitu kizuri kama kina maslahi mapana kwa taifa. It's the survival of the fittest.
Slavery was the necessary evil just like wars, na wazungu (ambao ndio wametuletea dini) walijua fika ya kuwa hili si suala jema lakini wakalazimika kulifanya kwa maana lilikuwa na maslahi makubwa kwa mataifa yao
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Eti ndugu zangu watanzania;
Kwanini watu weusi walishindwa kuwa wa kwanza kwenda Ulaya/Amerika (Ughaibuni) kuwachukua wazungu kisha kuwaleta Afrika kuwafanya watumwa?
Kwanini wazungu/waarabu waliweza kuwa wa kwanza kuwaza kuja kuwazoa babu zetu na kuwafanya bidhaa?
Waafrika tulikosa nyenzo gani za kutufanya kuwa wa kwanza kwenda Ughaibuni kisha kuwazoa wazungu kuja kufanya kazi za kitumwa katika mashamba yatu?
Je, hii inadhihirisha ya kuwa wazungu/waarabu wana kitu cha ziada kwenye akili/bongo zao (highly intelligent) tangia zama za kale mpaka wakawaza kuja Afrika kwa mara ya kwanza?
Je, kuna umuhimu wowote wa watu wa bara la Afrika kuendelea kulialia na kulalamikia biashara ya utumwa kama ni janga lililowarudisha nyuma kimaendeleo mpaka sasa?
NINAOMBA KUWASILISHA MADA HII FIKIRISHI. KARIBUNI SANA KWA MICHANGO YENU NDUGU ZANGU
Ninauza Vitabu Vya Kujifunzia Lugha Ya Kijerumani. Ich komme aus der Stadt Dar Es Salaam und verkaufe diese Deutsch-Lernbücher - JamiiForums
KUMBUKA: KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TAFADHALI TIMIZA WAJIBU WAKOIPASAVYO.
Kama mlikuwa na dini zenu mbona sasa mmezitelekeza na kuanza kukumbatia dini zao?Kwanza kabisa wazungu hawajatuletea dini. Tulikuwa na dini kabla hawajafika kwetu.
Mimi sina dini zao. Waafrika wote si wamoja. Na Africa hakuna dini ya mzungu, kuna dini za kutoka Middle East.Kama mlikuwa na dini zenu mbona sasa mmezitelekeza na kuanza kukumbatia dini zao?
Usiisemee nafsi ya mtu. Tuoneshe documents za hiyo research yako ya kwamba waafrika wengi hawapo kwenye dini kwa imani?Na Waafrika wengi wako kwenye dini si kwa imani, bali kwa "survival of the fittest" uliyoitaja.
Wamepiga marufuku utumwa baada ya kuwa wamenufaika nao vya kutoshaNdiyo maana watu wenye elimu wamepiga marufuku utumwa.
Wangekuwa wanaamini hizo dini wasingeamini uchawi sana.Usiisemee nafsi ya mtu. Tuoneshe documents za hiyo research yako ya kwamba waafrika wengi hawapo kwenye dini kwa imani?
Usinitoe nje ya mada kuu please ninaona ndio lengo lakoMimi sina dini zao. Waafrika wote si wamoja. Na Africa hakuna dini ya mzungu, kuna dini za kutoka Middle East.
Kwa maana hiyo, hata wazungu nao, kwa kuangalia hizo dini unazosema ni za wazungu, wanafuata dini za Middle East.
Ukristo haujatokea Ulaya kwa wazungu, umetokea Middle East.
Na Waafrika wengi wako kwenye dini si kwa imani, bali kwa "survival of the fittest" uliyoitaja. Psychilogical coping mechanism in a world full of uncertainty. Kama wanajua au hawajui.
Dini to them is a group that helps with Darwinian evolution.
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda hii inaweza kidogo kunishawishiPili, Waafrika hawakuwa na haja ya kwenda Ulaya kwa sababu waliridhika na neema nyingi za bara lao.
Hakuna kitu nilichoandika ambacho hujakianzisha wewe.Usinitoe nje ya mada kuu please ninaona ndio lengo lako
Africa sehemu kubwa sana unaweza kupanda mazao na kulima mwaka mzima.Labda hii inaweza kidogo kunishawishi
Mkuu tunajibu ki-shabiki lakini swali lako la ki-falsafa sana, natamani nikujibu ila maelezo nimarefu sana.
Imagine phd holder wa kizungu yupo maabara anatafuta dawa ya COVID-19, Phd wa Tanzania yupo msitu wa pande anakata mizizi kujifukiza ili apone!
PHD Mzungu akigundua hiyo dawaa atauza dunia nzima, phd wa Tanzania akipona, hajui ni jani lipi limemponyesha, na hana cha kusaidia wengine!
This is a very bad newsNilikuwa naangalia ujenzi wa flyover hapo ubungo, nikakuta kamchina kamoja kasicho na elimu yoyote kanamfundisha kazi mtanganyika mwenye degree ya Ardhi University.
If this is true, basi inasikitisha sanaKama kilaza wa china anaweza kuwa mwalimu wa "msomi" wa Tanganyika, what do you expect?