A BITTER TRUTH: Kwanini watu weusi walishindwa kwenda Ulaya/Amerika (Ughaibuni) kuwachukua wazungu (Whites) kisha kuwaleta Afrika kuwafanya watumwa?

Naona upeo wetu upo chini ndio maana tuliletewa dini tukapokea bila kuhoji! Kweli Muumba anaweza kumtoa mwanae kafara?
 
UMASKINI HUO
Ukiwa na kila kitu huo niumasikini? Kwa taarifa ni Kuwa katika Karne ya 15 maendeleo ya Afrika na Ulaya uwiano ulikua karibu sawa, kasome kitabu Cha Wolter Rodney, How Europe Underdevelop Africa.
 
Yusuf alikuwa mzungu aliuzwa utumwani Misri, waafrica ndio walioanza kununua watumwa kutoka uyunani na kuwaleta Africa. Piramids za Misri zilijengwa na watumwa kutoka ulaya.

Mansa Musa wa Mali alikuwa na wapagazi waarabu aliowatumia kwenda hijja makka na Madina.

Idd Amin alikuwa na wapagazi wazungu waliombeba kwenye machela.

Wahindi waliletwa Africa kwa kazi za garage ukarani upishi na kuuza duka,

Haya nawewe ongezea
 
Nimepitia uzi huu nilichokuja kubaini ni kuwa historia ya darasani imetu brain wash kabisa watu weusi...

Anyway, someni vitabu, vipo vingo sana vinavyoelezea historia ya kweli ya mtu mweusi. Tusiwe wavivu wa kusoma vitabu jamani. Ukweli upo KWENYE maandishi
 
Kwanini mzungu awe mbali kidogo? Huu ndio msingi wa swali langu bro.

Ina maana wazungu wapo very intelligent tangia zamani sana na ndio maana wanatawala dunia mpaka sasa?
Mwanza Mwanza Yamaliza Uchaguzi Mapemaaaa Mgufuri Kushinda kwa kishindo.
 
Kwanini mzungu awe mbali kidogo? Huu ndio msingi wa swali langu. Ina maana wazungu wapo very intelligent tangia zamani sana na ndio maana wanatawala dunia mpaka sasa?
Mtu kuwa mbali ni tokeo la historia au jiografia,,,

Kwamfano hapa kwetu Tanzania kuna makabila yapo mbali kielimu au kiuchumi (kibiashara), mfano wahaya, wachagga na wanyakyusa,

Je, unadhani makabila hayo yapo very intelligence au yana kitu Mungu kawazidishia kuliko makabila mengine???

Jibu ni hapana kuna sababu za kihstoria na kigeographia kwanini wamefika hapo walipo kielimu au kiuchumi,

Pengine wazungu (wakoloni) walipofika hapa Tanzania walipendezwa na mazingira yao ya baridi (geographical) wakaamua kuweka makao maeneo yao na kujenga shule nyingi kama Kilimanjaro, mbeya na kagera, pia hata makabila yaliyowahi kufikiwa na wakoloni utaona waliwahi kupata ustaarabu mapema

Vivyo hivyo na biashara na utawala, watoto wa wakubwa (viongozi) wanauwezekano wa wao kusoma sana, au kufika nje ulaya kimasomo, au hata kuja kushika uongozi wa nchi kuliko watoto wa maskini (makapuku) mfano: Amani karuke, Hussein Mwinyi,,,, swali je, unadhani nao wako very intelligent kuliko watoto wa wengine?! Au ni incident tu ya kimazingira na kihistoria?!

Ndivyo ilivyo hata historia yetu kwanini wazungu waweze kuja kututawala na sio sisi waafrika twende kwao kuwatawala na kuwauza watumwa,

Wao wenzetu waliwahi kupata elimu na technology mapema kuliko sisi ni jambo tu la kihistoria au kigeographia, wao walikuwa karibu na Roman empire/ Greece empire (Alexander The Great) hivyo ulaya iliweza kupata ujuzi wa utawala na majeshi mapema kuliko sisi waafrika tuko mbali sana na hizo empire mpaka kuja kutufikia na kupata elimu zao na ujuzi ni mpaka kutawaliwa kama wao ulaya yote walivyotawaliwa na Roman empire!
 
Umefafanua kwa utaalam wa hali ya juu sana mkuu. Thanks.
 
Kama Mzee wa Chadema anamkubali Rais Magufuli wewe kijana unabwabwaja ili iweje?
 
Tulikua na dini za kipumbavu eti ukitoka mbali eti mizimu ya babu haita kulinda
 
Naona upeo wetu upo chini ndio maana tuliletewa dini tukapokea bila kuhoji! Kweli Muumba anaweza kumtoa mwanae kafara?
Hujui nguvu ya damu kwenye ulimwengu wa kiroho so just cool of. Halafu hebu fanya research ni mwanae katika context gani.
 
Kama Mzee wa Chadema anamkubali Rais Magufuli wewe kijana unabwabwaja ili iweje?
Mgombea wetu wa CCM akiwa Zanzibar anawaeleza Wazanzibar kuwa wasiondoke uwanjani hapo maana akimaliza hotuba bado Kuna show kabambe kutoka kwa wasanii na watamuona nae akicheza.... Wazenji nao viburi wakaondoka wakati anazungumza. Aisee!
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…