Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
-
- #461
Sasa mbona makao makuu ya madhahebu ya kikirsto yapo Ulaya na Marekani?Ukristo ulikuwa kigeni Ulaya wakati umeshakuwa nyumbani Misri, Sudani na Ethiopia miaka mingi...
This question is a result of the lack of History knowledge.Kwa bahati mbaya kwa ujinga wetu tumekubali Wazungu kufuta Historia yetu.Kizazi ambacho kimekuwa affected sana ni mile kikicho kwenda shule kipindi cha Mwinji,Mkapa na Kikwete.I call it a lost generation.Ipo urgent need ya kubadilisha mitaala na kufundisha historia ya Mwafrika.Vitabu kama "A short history of Tanganyika," viko wapi?Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Eti ndugu zangu watanzania;
Kwanini watu weusi walishindwa kuwa wa kwanza kwenda Ulaya/Amerika (Ughaibuni) kuwachukua wazungu kisha kuwaleta Afrika kuwafanya watumwa?
Kwanini wazungu/waarabu waliweza kuwa wa kwanza kuwaza kuja kuwazoa babu zetu na kuwafanya bidhaa?
Waafrika tulikosa nyenzo gani za kutufanya kuwa wa kwanza kwenda Ughaibuni kisha kuwazoa wazungu kuja kufanya kazi za kitumwa katika mashamba yatu?
Je, hii inadhihirisha ya kuwa wazungu/waarabu wana kitu cha ziada kwenye akili/bongo zao (highly intelligent) tangia zama za kale mpaka wakawaza kuja Afrika kwa mara ya kwanza?
HILI SWALI WADAU WENGI WANALIKWEPA
Je, kuna umuhimu wowote wa watu wa bara la Afrika kuendelea kulialia na kulalamikia biashara ya utumwa kama ni janga lililowarudisha nyuma kimaendeleo mpaka sasa?
NINAOMBA KUWASILISHA MADA HII FIKIRISHI. KARIBUNI SANA KWA MICHANGO YENU NDUGU ZANGU
KUMBUKA: KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TAFADHALI TIMIZA WAJIBU WAKOIPASAVYO.
This question is a result of the lack of History knowledge.Kwa bahati mbaya kwa ujinga wetu tumekubali Wazungu kufuta Historia yetu.Kizazi ambacho kimekuwa affected sana ni mile kikicho kwenda shule kipindi cha Mwinji,Mkapa na Kikwete.I call it a lost generation.Ipo urgent need ya kubadilisha mitaala na kufundisha historia ya Mwafrika.Vitabu kama "A short history of Tanganyika," viko wapi?
There you go.Linganisha nchi inayoweza kuotesha mazao miezi minne na inayoweza kuotesha mazao mwaka mzima.Miezi minne
Si vile. Kwanza ni Wakatoliki tu, makao makuu Roma. Madhehebu mengie hayana makao makuu kweli; Anglikana Askofu wa Canterbury yuko Uingereza, lakini si mkuu wao, ni kama mwenyekiti wa maaskofu wao kwa heshima. Si zaidi, hakuna makao makuu. Vilevile Walutheri. Wanalo shirikisho, wamepeleka ofisi kuu (lakini ni ofisi tu, haina mamlaka) pale Geneva Uswisi kwa sababu ilikuwa nchi isiyoshikamana na upande wowote wakati wa vita za karne ya 20 (kumbuka Tanzania ilishiriki vita zote mbili WWI na WWII kama eneo la Uingereza). Waorthodoksi askofu mkuu wa heshima yuko Uturuki (Ecumenical Patriarch), Makanisa makubwa ya kale ya Afrika ni Kopti wa MIsri na Waethiopia, hawana mkuu pale Ulaya.Sasa mbona makao makuu ya madhahebu ya kikirsto yapo Ulaya na Marekani?
Hapana mkuu huyu jamaa hana nia ya kujifunza,ana nia ya kutudhalilisha kama Waafrika.Ndio maana nimempasha kidogo.Wewe unajibu kwa mipasho, jamaa ameuliza maswali ya msingi na muhimu sana, kuna watu wanafuatilia huu uzi wakiwa na nia ya kujifunza.
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Eti ndugu zangu watanzania;
Kwanini watu weusi walishindwa kuwa wa kwanza kwenda Ulaya/Amerika (Ughaibuni) kuwachukua wazungu kisha kuwaleta Afrika kuwafanya watumwa?
Kwanini wazungu/waarabu waliweza kuwa wa kwanza kuwaza kuja kuwazoa babu zetu na kuwafanya bidhaa?
Waafrika tulikosa nyenzo gani za kutufanya kuwa wa kwanza kwenda Ughaibuni kisha kuwazoa wazungu kuja kufanya kazi za kitumwa katika mashamba yatu?
Je, hii inadhihirisha ya kuwa wazungu/waarabu wana kitu cha ziada kwenye akili/bongo zao (highly intelligent) tangia zama za kale mpaka wakawaza kuja Afrika kwa mara ya kwanza?
HILI SWALI WADAU WENGI WANALIKWEPA
Je, kuna umuhimu wowote wa watu wa bara la Afrika kuendelea kulialia na kulalamikia biashara ya utumwa kama ni janga lililowarudisha nyuma kimaendeleo mpaka sasa?
NINAOMBA KUWASILISHA MADA HII FIKIRISHI. KARIBUNI SANA KWA MICHANGO YENU NDUGU ZANGU
KUMBUKA: KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TAFADHALI TIMIZA WAJIBU WAKOIPASAVYO.
Actually sababu iliyofanya Afrika tusiitawale Europe,Asia,nkKwanini mzungu awe mbali kidogo? Huu ndio msingi wa swali langu. Ina maana wazungu wapo very intelligent tangia zamani sana na ndio maana wanatawala dunia mpaka sasa?
ConclusionBila kuathiri majibu ya watu wengine, sababu ya ziada ninayofikiri ni kwamba inawezekana Wazungu walikuwa na shida nyingi kuliko Waafrika. Kabla hawajagundua teknolojia watu wao wengi walikufa kutokana na mazingira magumu ya kuishi, ikiwa ni pamoja na baridi kali, njaa, magonjwa nakadhalika -- yaliyotokana na jiografia ya nchi zao. Ilibidi watumie akili za ziada kuishi. Wakajikuta wanatoka 'nje ya box' hadi kufika kwetu. Kwa upande wetu huku Africa, Mungu alitupendelea sana kwa raslimali nyingi, hali ya hewa nzuri n.k. ikawa huhitaji kutumia akili nyingi sana 'kusavaivu' Afrika. Tukabweteka. Bahati mbaya sana tunaendelea kubweteka hadi leo.
Conclusion
Siyo kwamba waafrika ni wavivu/wazembe/wasio na akili, bali ni kwamba tumeumbwa kuwa wenye kuridhika na tulivyo navyo(ie furaha yetu haidepend sana kwenye material things bali inward) na hali hiyo ni bora kuliko wale wenye kucrave for more ,kwani "tamaa" na kutokuridhika ni chanzo cha mateso, maumivu na majanga mbalimbali,na ndiyo maana sometimes utagundua kuwa life la vijijini/primitive life(walioishi babu zetu) ni zuri na lenye furaha kuliko maisha yetu haya ya kukimbizana(kidigitali) yaliyojaa msongo wa mawazo, magonjwa na psychological trauma ,kadiri tunavyocrave for more the bitter we become na less craving less bitterness.
So in terms of material and technological advancement mzungu katuzidi lakini interms of inner peace and joy babu zetu walikuwa juu
#Proud to be Black
Back to Africa movement
Infantry Soldier,
Kwani kumfanya mtu mwenzako mtumwa ni kitu kizuri?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kufanya kitu kisicho kizuri ni alama ya kuzidi akili?Sio kitu kizuri ila kinaonyesha una akili kumzidi
Hilo ndio JIBU . Umepata 100%Bila kuathiri majibu ya watu wengine, sababu ya ziada ninayofikiri ni kwamba inawezekana Wazungu walikuwa na shida nyingi kuliko Waafrika. Kabla hawajagundua teknolojia watu wao wengi walikufa kutokana na mazingira magumu ya kuishi, ikiwa ni pamoja na baridi kali, njaa, magonjwa nakadhalika -- yaliyotokana na jiografia ya nchi zao. Ilibidi watumie akili za ziada kuishi. Wakajikuta wanatoka 'nje ya box' hadi kufika kwetu. Kwa upande wetu huku Africa, Mungu alitupendelea sana kwa raslimali nyingi, hali ya hewa nzuri n.k. ikawa huhitaji kutumia akili nyingi sana 'kusavaivu' Afrika. Tukabweteka. Bahati mbaya sana tunaendelea kubweteka hadi leo.
Kufanya kitu kisicho kizuri ni alama ya kuzidi akili?
Nilifikiri mtu mwenye akili zaidi anatakiwa kufanya vitu vizuri zaidi, au?
Ukitaja Misri tayari umejibu swali asilia. Kuna historia ndefu jinsi gani Wamisri wa Kale walikuwa na watumwa kutoka pande mbalimbali - kutoka Asia Magharibi (Wayahudi pale awali walikuwa watumwa Misri) na pia kutoka kusini (Sudan) .Swali lako limekaa kifalsafa zaidi. Hakuna jibu la moja kwa moja litakalojitosheleza kukujibu. Bila kupinga majibu ya watu wengine, nitakujibu kama ifuatavyo.
1. Sehem kubwa ya Historia ya Afrika imeandikwa na Mzungu (watu wa ghaibuni). Sehem kubwa ya historia lazima itafichwa ili kuifanya Afrika kuonekana dark continent (bara lilikokuwa gizani) Hivyo ni vigumu kidogo kwa wao kuelezea uhalisia wa Afrika, ukweli walioukuta. Huenda sisi tuliwahi kwenda Ulaya kabla yao. Huenda waafrika walifika Ulaya kabla ya wazungu kuja huku, lakini hawqkutaka kuweka wazi. Nchi kama Misri, ipo kusini mwa Afrika. wao ndo wakwanza kugundua Maandishi duniani. Je kama Misri waliweza kugundua Maandishi ya kwanza duniani, je wangeshindwa kuwa na teknolojia ya kwenda Ulaya na wanapakana tu kwa umbali mdogo? Hakuna jibu la uhakika katika hilo.
Wote walikuwa na wafalme. Pitia historia yako tena.Hapana, tende taratibu, wao walitoa wapi huo mtaji?
Umejibu kitoto sana
Hii inawezekana lakini sio kwa ukubwa huo
Ufaransa je? german kuwa na kingship leadership sio hoja
Umesema:Ukitaja Misri tayari umejibu swali asilia. Kuna historia ndefu jinsi gani Wamisri wa Kale walikuwa na watumwa kutoka pande mbalimbali - kutoka Asia Magharibi (Wayahudi pale awali walikuwa watumwa Misri) na pia kutoka kusini (Sudan) .
Utumwa kimsingi haukuwa swali la "rangi" au Uafrika au Uzungu. Katika historia ni nchi zenye nguvu zilizotafuta watumwa. Menginevyo watumwa walikuwa wafungwa wa vita (wale ambao hawakuuawa) waliochukuliwa na washindi na kuwa watumishi. Nchi zenye nguvu ya kiuchumi zilitafuta wafanyakazi wa kulazimishwa kwa ujenzi (kama Wayahudi huko Misri), kwa kazi katika migodi, mara nyingi pia kama wanajeshi.
Ulaya kuna kundi kubwa la mataifa ambayo huitwa "Slavonic", maana yake kiasili "slaves" = watumwa. Maana walitafutwa kama watumwa na Wazungu wa Ulaya magharibi na pia na Waarabu / Waislamu.
Waafrika upande wa kusini mwa jangwa Sahara hakutafuta watumwa katika nchi za mbali. Pale ambako milki kubwa zilitokea, walikuwa na watumwa wa kutosha hapahapa. Wale upande wa kaskazini mwa Sahara walichukua watumwa mara kwa mara kutoka Ulaya na pia sehemu za kusini mwa Sahara.
Hapa mkuu umenena vyema, tuna tatizo kubwa sana hasa ubinafsiAlie kutangulia ndo yuko mbele , kama hakubweteka atabaki kuwa mbele daima .
Wakati sisi Afrika leo tunaamka kujadili hali zetu, wazungu wao wamesha songa mbele zaidi kudhibiti mawazo yetu.
Ukilijua hilo ndo utakapojua baini kuwa umri wa baba yako huwezi kuupita kamwe.
Najaribu kujiuliza katika Afrika ,ni nchi ipi iko tofauti na nyingine?
mbona zote zinafanana fanana? hasa hizi za Kusini mwa jangwa la sahara ndio majanga kabisa.
Nikirudi kwenye mada ,si rahisi mtu mwenye upeo mdogo ki elimu na kutawala na kimaisha kumfanya mtumwa mtu mwenye upeo mkubwa.
Wzungu kutokana na kupambana na shida zao kule ulaya kuliwapa upeo wa maarifa na uhitaji wa kutoka ili kutafuta means za kujikimu na kujiendeleza kiuchumi, na hatimae walipotukuta sisi ni PRIMITIVE kwa viwango vya uelewa wao ulivyo kuwa juu ,waliamua kutusweka utumwani na kututawala kabisa hadi leo.
Ujuzii wetu wa zana za kivita,na upeo wa kiutawala ulitufanya tushindwe mapambano.
lakini Usaliti, Ujinga wetu,na kurubuniwa kirahisi kwa kuhongwa na mabeberu.Hii ndiyo imekuwa SILKA yetu ya kudumu na pia ni silaha bora anayoitumia Mzunngu kila uchao.(divide and rule)
Usaliti wa wenyewe kwa wenyewe ndio ilikuwa silaha ya mzungu kuwatumia baadhi ya ndugu zetu kua watumishi wake na askari wake dhidi ya Mkwawa,na wapambanaji wengine nchini akina Abushiri, kimweri na isike.
Watumwa wengi waliuzwa na Machifu wa Kiafrika kwa wazungu na Waarabu, Hali hii ilionesha kinna cha Ujahili wetu ,na hali hii hadi leo bado tunayo waafrika.
Namkumbuka Mzee Ghadafi wakati anamalizwa na wazungu,Waafrika wote tuliufyata kimyaaaa
na badhi ya Walibya wenzake ndio waliotumika kufanikisha zoezi lile.
VERY SAD
THE LIONS OF AFRICA ARE GONE, who will rule the JUNGLE now?