Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Eti ndugu zangu watanzania;
Kwanini watu weusi walishindwa kuwa wa kwanza kwenda Ulaya/Amerika (Ughaibuni) kuwachukua wazungu kisha kuwaleta Afrika kuwafanya watumwa?
Kwanini wazungu/waarabu waliweza kuwa wa kwanza kuwaza kuja kuwazoa babu zetu na kuwafanya bidhaa?
Waafrika tulikosa nyenzo gani za kutufanya kuwa wa kwanza kwenda Ughaibuni kisha kuwazoa wazungu kuja kufanya kazi za kitumwa katika mashamba yatu?
Je, hii inadhihirisha ya kuwa wazungu/waarabu wana kitu cha ziada kwenye akili/bongo zao (highly intelligent) tangia zama za kale mpaka wakawaza kuja Afrika kwa mara ya kwanza?
Je, kuna umuhimu wowote wa watu wa bara la Afrika kuendelea kulialia na kulalamikia biashara ya utumwa kama ni janga lililowarudisha nyuma kimaendeleo mpaka sasa?
NINAOMBA KUWASILISHA MADA HII FIKIRISHI. KARIBUNI SANA KWA MICHANGO YENU NDUGU ZANGU
Ninauza Vitabu Vya Kujifunzia Lugha Ya Kijerumani. Ich komme aus der Stadt Dar Es Salaam und verkaufe diese Deutsch-Lernbücher - JamiiForums
KUMBUKA: KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TAFADHALI TIMIZA WAJIBU WAKOIPASAVYO.
Waafrika ni watu wenye utu, hekima na busara. Na kwaajili ya hayo tumepiga hatua kubwa, far more intelligent than pigs and other animals.
Hatukushindwa, kwasababu lukuki
Ardhi tunayo Teknolojia ya Kulima, Kujenga, Kutumia ardhi na pamoja na kurutubisha ardhi tunayo
Rasilimali tunayo madhaabu kede kede l, vyuma ndio usiseme, na vyote hivi tulijua kuvitumia, kwa biashara, dhahabu ilitumka kuoa, tulibadishana cheni hereni, yaani viwalo kweli kweli...viwanda hata kama tulikuwa tunazalisha vipuri vya kivita(ambayo na yo tunajua) mikuki panga mpaka viwanda vya marungu!
Wanawake, au wake wazuri tunawo
wenye hekima, wenye nguvu, wenye halaiki na utu na bila kuuliza...ujuzi wa mapenzi kitandani na mambo lukuki ya maisha.
Hao wazungu au waarabu ni watu makatili, wasioabudu mungu wote kafiir tu, yaani ni watu wa ajabu ajabu. Mtu mwenye akili au unavyodai "highIl intelligent" hawezi awe anaweza kuua, kulghai tena kwa dhambi kubwa ulimwenguni ya kumhusisha muumba!
Na kwasababu ya kulaaniwa kwao ndio kuliwapeleka, kutuvamia, kutaka kuzaa na wanawake wetu ili wawe nao na nguvu, akili, na uzuri usio na kifani!
Walitaka wawe na ujuzi na maarifa ya kuishi hapa mamaanisha civilization kama ya waafrika, kulima, kuwinda, biashara, vita na utabibu n.k
Kukosa utu, ni kukosa akili, kukosa akili kunakufanya uwe katili, kaafir na shetani mkubwa na kwa hayo yaliwapeleka kwa wazungu na waarabu yaani wanyama kama hao, kuleta unyama katika bara la Afrika.
Kuwa na wivu ndio waltaka wawe wanaishi kwenye nyumba kama zetu
zenye uwezo kushindana na dhoruba za duniani...mengi, mambo ni mengi
Mtuache basi lalama za nini kama sio ukorofi na kuleta taharuki?