A BITTER TRUTH: Kwanini watu weusi walishindwa kwenda Ulaya/Amerika (Ughaibuni) kuwachukua wazungu (Whites) kisha kuwaleta Afrika kuwafanya watumwa?

 
Majibu yanavyotofautiana ina maana hatujui, ukiulizwa 1 + 1 utasema 2 shortcut and clear.
But kwa hili swali kila mtu na jibu lake.
 
Sisi waafrika (majority) hatuna akili while wazungu (minority) ndio hawana akili huo ndio sababu
 
Sisi waafrika (majority) hatuna akili while wazungu (minority) ndio hawana akili huo ndio sababu
 
Hustles are game too, and the better you know your opponents the more money you can make.

Let me tell you, that was the only part of their plan. But the greatest art is to control your enemy.

The key to your victory it's in his head. What's the main weakness of a person who subconscious is like a bullet proof safe, that's right is afraid of losing everything.
 
Tulipokuwa shule ya msingi darasa la tano kwenye Historia tulijifunza kuwa Wakoloni walikuja Afrika kutokana na mapinduzi makubwa ya viwanda huko Ulaya. Kwa hiyo walikuja na malengo makuu matatu. 1.Kutafuta malighafi 2. Kutafuta soko la kuuza bidhaa zao 3. Kutafuta raslimali watu.
Sasa hapo tujiulize je sisi waafrika tulikuwa na sababu ipi kipindi hicho cha kwenda kuchukua watumwa kuleta huku Afrika?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili ndilo jibu hasa nililolitegemea.
Ugumu wa maisha kwenye nchi za Ulaya ulipelekea wazungu kukua kiakili katika zile process za kukabiliana nao. Struggle hizi ndizo zoliwafanya watengeneze silaha kali , wakusanye mitaji mikubwa na hata sasa wafikirie endapo kuna mahali duniani penye maisha mazuri kuliko Ulaya.
Bahati mbaya au nzuri sisi weusi hatukuwa na shida kama hizo ,, sasa kwanini tustruggle wakati tumezungukwa na neema?

Kinachoendelea hadi leo ni ule mkakati wa mzungu kutomruhusu mwafrika kuibuka juu yao, japo kuna jambo naliona mtu mweusi atakuja kujitokeza( dalili mojawapo ni Obama mwenye nusu damu ya Kenya kuiongoza USA.) Ipo siku.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Soma kuhusu Moor Conquest and occupation huko Ulaya, itakusaidia kupanuliwa mawazo...
Halafu ivi vitu vya uzungu vs weusi ni mambo ya imani tu, ukishachagua kuamini hivyo ni vigumu kukubadilisha.
Angalia kwa mfano Wabongo wanavyoaminishana kuwa Kinjeketile Ngwale alikuwa mganga flani muongo muongo aliyewarubuni watu kwa maji wakaenda kufa kindezi kwenye risasi za jeremani. Ila hawajiulizi ilikuwaje vita ya maji na mishale vs vifaru na mabunduki makubwa makubwa ikadumu kwa takribani miaka miwili mizima.
You see, ignorance is a choice! Choose wisely...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkulungwa, huyu ni Ramses II. Ndiye mfalme aliyekuwa na nguvu kuliko wote wa Misri, probably ndiye yule baharia aliyelisha msosi dunia nzima kwenye njaa kali inayotajwa katika Kitabu cha Mwanzo cha Biblia Takatifu.
Swali dogo, does he look white to you?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sema walianza kuendelea na kuwa na kufanya vumbuzi za teknolojia kwa haraka zaidi,kustaarabika ni jambo lingine kabisa ndio maana waliendelea kufanya ukatili wa kutisha kwa binadamu wengine kwa kipindi kirefu sana.Kuwa binadamu aliyestaarabika ni pamoja na kutojihusisha na ukatili na ufidhuli kwa binadamu mwenzako.
 
Swali lako haliwezi kujibika kirahisi.

Kuna historia ndefu na complex sana kwa maendeleo ya kila race ya binadamu.
Nadharia mbalimbali bado zinaacha mijadala mingi badala ya majibu.

Kuna wenye nadharia ya mazingira,kuna wenye mrengo wa mwanayasansi James Watson aliyejaribu kuelezea genes na DNA kama kigezo kinachoamua akili za binadamu.

Kuna wenye kuamini haya ni mambo yanayojibiwa kwa imani za kidini.
Kwanini mzungu awe mbali kidogo? Huu ndio msingi wa swali langu. Ina maana wazungu wapo very intelligent tangia zamani sana na ndio maana wanatawala dunia mpaka sasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…