A BITTER TRUTH: Kwanini watu weusi walishindwa kwenda Ulaya/Amerika (Ughaibuni) kuwachukua wazungu (Whites) kisha kuwaleta Afrika kuwafanya watumwa?

Tatizo in kua waafrika bado hatuna ukweli juu yetu kunawezekana maingiliano baina ya jamii hizi yalipelekea upotevu Wa taarifa sahihi ju yetu, lakini biashara hizi za utumwa. Zilianzia misri huko ambapo no afrika,,

Ogopa sana watu wanaoweza kwenda nchi za mbali kwa mito mikubwa kama Nile, Amazon au kwa kutumia bahari kuu.

Tungefanikiwa kupata mabaharia wetu watumiao vyombo vilivyotengenezwa na sisi wenyewe enzi hizo kukatiza bahari kuu basi tungekuwa tupo mbali sana sana kimaendeleo.

Who are the Sea Peoples and what role - American Schools of Oriental Research


Who are the Sea Peoples and what role did they play in the devastation of civilizations that occurred shortly after 1200 BCE? The simple ...
 
Uwoga tu.
 
MTU mweusi uwezo anao japo vikwazo anavyopitia in vigumu sana ila we run the worldwide hata wao wanajua ndiyo sababu wanajitahidi kutuletea mentality za unyonge Wa kifikra ila bahati bado IPO kwetu, changamoto in mifumo ya siasa na elimu ya ya MTU mweusi mwenyewe
 
Uwoga wa nini tena mzee baba?
Kila kitu.
Ukiwa mwoga wa kufa utachukuliwa mtumwa miaka 300.
Ukiogopa kutetea haki na utu wako utakuwa mtumwa na kutawaliwa hadi leo.
Ukiogopa kupambana na nchi zinazokunyanyasa kiuchumi utakuwa unaomba misaada hadi siku unakufa.
Ukiogopa kelele na maneno ya watu utaamini mwaafrika hawezi kuvumbua chochote, kubuni elimu yake wala kutengeneza dawa zake.
Ukiogopa kusikiliza fikra zako utaendelea kufuata dini za wakoloni japo hazingii akili.
Waafrika tunaogopa na kuogopa tu.
 
πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
well said
 
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ inashangaza sana..eti ukienda kuzunguka mti aliokuwa anazunguka marehemu babu yako unaitwa mshirikina..ila kuna watu wanaona fahari kwenda maka kulizunguka jiweπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
πŸ˜ƒπŸ˜ƒ eti alipo pachagua mungu... hichondio ambacho walichokifanya watu wa middle east wame wa_brainwash ili muweze kuamini kuwa matambiko yao ni chaguo sahihi la mungu na yakwetu hayafai ili iwe rahisi kwa wao kuweza kuwatawala nakatika hilo wamefanikiwa
 
yeaahh huwa wana amini hivyo.... sijui nani aliyewalisha matango pori hayo πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
watu sijui hawasomi. mbona kuna mabandiko mengi tu humu yanayo eleza history ya mtu mweusi... hao the moors uliowataja wamewahi kuitawala mpaka ufaransa tena walikuwa na tech ya hali ya juu
 
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
wewe jamaa acha mambo yako πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ kwahiyo wataka kusema kwamba kina pharao ramisese walikuwa ni watu weupe?
 
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ hawajui hao...wanadhani kwamba history ya ulimwengu huu imeanza juzi...laiti wangekuwa wanambua kuwa sehemu zote hizi tunazoishi waliishi watu hapo kabla na nyumba zetu na misikiti namakanisa yetu tumejenga juu ya makaburi yawatu wakale wasingekuwa nahizo fikira
 
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ‘πŸ‘πŸ‘ paragraph ya mwisho umemalizia kwa kuuliza swali murua sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…