A BITTER TRUTH: Kwanini watu weusi walishindwa kwenda Ulaya/Amerika (Ughaibuni) kuwachukua wazungu (Whites) kisha kuwaleta Afrika kuwafanya watumwa?

A BITTER TRUTH: Kwanini watu weusi walishindwa kwenda Ulaya/Amerika (Ughaibuni) kuwachukua wazungu (Whites) kisha kuwaleta Afrika kuwafanya watumwa?

Sio kitu kizuri ila ukweli ni kwamba maendeleo yote yamepatikana juu ya jasho la watumwa.
Hivi ukiwa atheist sababu zipi utazitoa kupinga utumwa?
Naweza kupinga utumwa kama atheist kwa sababu utumwa ni immoral.

Ukishangaa ni vipi atheist anaweza kupinga utumwa, unaniambia kwamba huelewi atheism, na pia, huelewi utumwa.

Mimi kuwa atheist ilibidi nielewe kanuni kwamba kila mtu ni sawa na mimi.

Kwamba mimi si Mkristo niliye juu ya Waislamu, Wahindu, Wa Buddhist na wengine wa dini zingine zozote.

Niko sawa na wote.

Leo kuna Coronavirus inayosababisha Covumid-18.

Haiheshimu dini.

Inaheshimu sayansi tu.

Nikiwa atheist nitapinga vipi utumwa?

Ngoja nikuoe sababu kumi. Kwa sababu napenda kuishia kwenye sababu kumi, nikitoa zaidi zitapita namba ya amri kumi za Mungu wa wengi humu.

1. Napinga utumwa kwa sababu sitaki mtu mwingine awe juu yangu bila sababu ya msingi.

2. Napinga itumwa kwa sababu sotaki mtu mwingine awe chini yqngu bila sababu ya msingi.

3. Napinga utumwa kwa sababu hauna haki. Haumpi nafasi ya juu yule anayestahili kwa uwezo wake.

4. Napinga utumwa kwa sababu unazuia maendeleo. Mtumwa mwenye akili kubwa anaweza kuwa na Bwana asiye na akili, akili kubwa za mtumwa zisiwe na maana.

5. Napinga utumwa kwa sababu utumwa hauendani na usomi. Utumwa unasisitiza kadhia na nasaba aliyozaliwa mtu, hausisitizi uwezo wa mtu binafsi.

6. Napinga utumwa kwa sababu una promote impunity.

7. Napinga utumwa kwa sababu za kihistoria. Itumwa umepigwa marifuku dunia nzima, kwa sababu watu wenye akili wameona , on a large scale, umekuwa mfumo uliopita.

8.Napinga utumwa kwa sababu ni mfumo unaofuga kisasi, na kisasi si jambo zuri kwa ustawi wa biashara.

9. Napinga utumwa kwa sababu hauruhusu waja ja wadogo kupaishwa. Wajanja wadogo ni muhimu aana.

10. Napinga utumwa kwa sababu unaruhusu wewe na mimi kuwa ni mali za mtu mwingine kama mimi na weee!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Namba 3 na 6 ziondoe.
Haki na impunity ni incompatible na atheism kwa sababu ni mambo yanayohusu moral values na binadamu wanatoa moral values zao kutoka kwenye imani ya uwepo wa Mungu au miungu.
Naweza kupinga utumwa kama atheist kwa sababu utumwa ni immoral.

Ukishangaa ni vipi atheist anaweza kupinga utumwa, unaniambia kwamba huelewi atheism, na pia, huelewi utumwa.

Mimi kuwa atheist ilibidi nielewe kanuni kwamba kila mtu ni sawa na mimi.

Kwamba mimi si Mkristo niliye juu ya Waislamu, Wahindu, Wa Buddhist na wengine wa dini zingine zozote.

Niko sawa na wote.

Leo kuna Coronavirus inayosababisha Covumid-18.

Haiheshimu dini.

Inaheshimu sayansi tu.

Nikiwa atheist nitapinga vipi utumwa?

Ngoja nikuoe sababu kumi. Kwa sababu napenda kuishia kwenye sababu kumi, nikitoa zaidi zitapita namba ya amri kumi za Mungu wa wengi humu.

1. Napinga utumwa kwa sababu sitaki mtu mwingine awe juu yangu bila sababu ya msingi.

2. Napinga itumwa kwa sababu sotaki mtu mwingine awe chini yqngu bila sababu ya msingi.

3. Napinga utumwa kwa sababu hauna haki. Haumpi nafasi ya juu yule anayestahili kwa uwezo wake.

4. Napinga utumwa kwa sababu unazuia maendeleo. Mtumwa mwenye akili kubwa anaweza kuwa na Bwana asiye na akili, akili kubwa za mtumwa zisiwe na maana.

5. Napinga utumwa kwa sababu utumwa hauendani na usomi. Utumwa unasisitiza kadhia na nasaba aliyozaliwa mtu, hausisitizi uwezo wa mtu binafsi.

6. Napinga utumwa kwa sababu una promote impunity.

7. Napinga utumwa kwa sababu za kihistoria. Itumwa umepigwa marifuku dunia nzima, kwa sababu watu wenye akili wameona , on a large scale, umekuwa mfumo uliopita.

8.Napinga utumwa kwa sababu ni mfumo unaofuga kisasi, na kisasi si jambo zuri kwa ustawi wa biashara.

9. Napinga utumwa kwa sababu hauruhusu waja ja wadogo kupaishwa. Wajanja wadogo ni muhimu aana.

10. Napinga utumwa kwa sababu unaruhusu wewe na mimi kuwa ni mali za mtu mwingine kama mimi na weee!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Eti ndugu zangu watanzania;

Kwanini watu weusi walishindwa kuwa wa kwanza kwenda Ulaya/Amerika (Ughaibuni) kuwachukua wazungu kisha kuwaleta Afrika kuwafanya watumwa?

Kwanini wazungu/waarabu waliweza kuwa wa kwanza kuwaza kuja kuwazoa babu zetu na kuwafanya bidhaa?

Waafrika tulikosa nyenzo gani za kutufanya kuwa wa kwanza kwenda Ughaibuni kisha kuwazoa wazungu kuja kufanya kazi za kitumwa katika mashamba yatu?

Je, hii inadhihirisha ya kuwa wazungu/waarabu wana kitu cha ziada kwenye akili/bongo zao (highly intelligent) tangia zama za kale mpaka wakawaza kuja Afrika kwa mara ya kwanza?

Je, kuna umuhimu wowote wa watu wa bara la Afrika kuendelea kulialia na kulalamikia biashara ya utumwa kama ni janga lililowarudisha nyuma kimaendeleo mpaka sasa?

NINAOMBA KUWASILISHA MADA HII FIKIRISHI. KARIBUNI SANA KWA MICHANGO YENU NDUGU ZANGU

Ninauza Vitabu Vya Kujifunzia Lugha Ya Kijerumani. Ich komme aus der Stadt Dar Es Salaam und verkaufe diese Deutsch-Lernbücher - JamiiForums

KUMBUKA: KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TAFADHALI TIMIZA WAJIBU WAKOIPASAVYO.

tatizo ni Elimu yetu ya kwnaza ilikuja na DINI na wafrica tulikuwa na utu kitambo hatukuwahi kutamani cha mtu.
 
unajua mwarabu ameingia egypt mwaka gan??.. [emoji4]
unazungumzia historia ya mtu kama haile wa karne ya 20
me nakupa data za misri iliyoongozwa na Black khemets (kushite)... miaka elfu 3 kabla ya kuzaliwa yesu... means huu ni mwaka 2020 toka azaliwe yesu
urudi miaka elfu tatu kabla
ambapo hata nabii mussa alikua hajazaliwa.
Misri ambayo iliishi kwa kuamini miungu kama Amun-ra... osirs.. horus ... Anubis ... sobek

Bro.... [emoji38]

Sent from my SM-J5007 using JamiiForums mobile app
Bro sometime ukigundua una argue na akili ndogo unamkalia kimya wala usimjib.hawez kukuelewa..wew umeongelea egypt ya miaka 5000 nyuma yeye anaongelea egypt ya 1900 AD..hahah.hilarious

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utumwa unaanzia kwenye FIKRA.

Kama una raisi anayehisi kila kitu anahujumiwa anaweza kusafiri kweli? kila kitu yeye ni kulaumu mabeberu, hata ndege akipanda kama haijatengenezwa Tanzania si ataogopa?

Ili kumfanya mtu mtumwa wako, kama UVCCM, wanavyofanyiwa na kuwa watu wa kusifia tu hata mtu akijamba, lazma umfanye awe rafiki yako
Kwa hakika weww hutakua na akili timamu

JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
 
Kwa hakika weww hutakua na akili timamu

JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
Sasta najua mkishatumia ile majani ya kisimiri mnajiona mshakuwa wa Ethiopia kama si wa jamaika, wewe sibishani wala kukufundisha, continue with Jah
 
Kitabu cha Daniel Defoe maarufu kama "Robinson Crusoe" gonga link: Robinson Crusoe - Chapter 15: Friday's Education kilichochapishwa mwaka 1719 ukikisoma utagundua mentality ya watu wengine kuhusu waAfrika na mtizamo wao enzi hizo kutufanya watumwa.

Sasa sisi simulizi za babu zetu kuhusu walivyo waona watu wengine waliokuja barani Afrika kupitia njia ya maji yaani bahari waliwaona ni watu wa aina gani hilo ni swali gumu.

Simulizi za waChina, waTuruki , Waingereza, Wajerumani n.k kuhusu watu wengine waliwaona na kuwachukulia vipi zipo nyingi ktk maandiko yao.
Lakini sisi simulizi hata za mdomo toka mwaka angalau 1700 hatuna na ni sasa tukisoma maandiko ya simulizi za hadithi za Robinson Crusoe tunashangaa mtizamo, mtiririko na character waliyotuwekea kuhusu watu weusi.

Pia dini zilizokuja kwa kutumia bahari na wageni waliona ni lazima sisi tuchague hiyo dini mpya ili tupate kuwa 'wastaarabu' kwa maneno mengine kutufanya si watumwa wa kifikra, imani pia hata kututia utumwani na kutawaliwa kikoloni. Dini siyo tu imetugawa mafungu kuanzia ngazi ya kitaifa, kikanda, kikabila, kiukoo na kifamilia pia hivyo kuharibu umoja wetu.

Sasa ikiwa tumeweza kugawiwa ktk mafungu chini ya himaya tofauti za kiimani, kifikra na kiuchumi hivi kweli utaweza kupona kama jamii na kuja kuibuka bara litakaloweza angalau kuutawala uchumi wa dunia maana jahazi la utumwa limeshaondoka ulimwenguni kilichobaki ni mapambano ya kiuchumi na kujitegemea.

Utumwa, enlightenment Enlightenment (Stanford Encyclopedia of Philosophy) , mapinduzi ya viwanda How the Industrial Revolution Changed Business and Society ukoloni, kuminywa fikra kupitia elimu /dini, uhuru wa bendera, ukoloni mkongwe, globalisation, the 4th industrial revolution The Fourth Industrial Revolution, by Klaus Schwab yaani hatua hizo zote hatujafanikiwa kujinasua kuwa mbele ya wengine.

Kweli historia hujirudia ndiyo maana hatukuweza hata kuanza hatua mbaya kabisa ya mwanzo ya kutumia utumwa kujiletea maendeleo.
 
Pia sinema za miaka hii inaangazia mtizamo wa wageni kama waDutch, waFaransa n.k kuhusu mtu mweusi hata zama hizi za sayansi na Teknolojia, kiuchumi, uvumbuzi n.k

Pia sinema za miaka hii inaangazia mtizamo wa wageni kama waDutch, waFaransa n.k kuhusu mtu mweusi hata zama hizi za sayansi na Teknolojia, kiuchumi, uvumbuzi n.k

Thanks for the supporting video documentary
 
Tatizo in kua waafrika bado hatuna ukweli juu yetu kunawezekana maingiliano baina ya jamii hizi yalipelekea upotevu Wa taarifa sahihi ju yetu, lakini biashara hizi za utumwa. Zilianzia misri huko ambapo no afrika,,
 
Back
Top Bottom