A Car designed in Kenya, Assembled in Kenya, Global factory in Kenya with few imported parts - Mobius 2.0

Tony254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2017
Posts
16,017
Reaction score
16,431


Tunazidi kutanua katika sector ya Manufacturing and Assembling and now design of motor vehicles. Hii gari inavutia sana ukilinganisha na Mobius 1.0 ambayo kusema ukweli ilikuwa sura mbaya. Nafurahi kuona sasa tunadesign magari yanayoweza kuenda guu kwa guu na magari kutoka ulaya. Tuendelee hivyo hivyo.
 
Toyota Rumio. Wakenya bhana..mlichoweza nyie ni kuweka jina na ngao tu.
View attachment 1153418
Mr Mtui wacha mchezo. Hii ya Kenya ni SUV. Toyota Rumia nimeiona mara ya kwanza hapa leo na ina sura mbaya ajabu. Hata sio SUV. Hebu angalia ground clearance ya Rumio kisha ulinganishe na Mobius. Tena angalia size ya tairi ya Mobius kisha utazame jinsi Rumio kana katairi kadogo kama ya vitz. Hata hio Rumio niko sure sio 4WD.
 
Huo utofauti wa ground clearance ni ishu ndogo sana..but walicopy hapo
 
Huo utofauti wa ground clearance ni ishu ndogo sana..but walicopy hapo
Unajua maana ya SUV ndugu ama unataka nikufunze? Rumio sio SUV bali Mobius ni SUV. Ni kama kulinganisha maembe na mapera. Haya magari yako katika category mbili tofauti. Linganisha Mobius na SUV zingine kama akina Rav4 au Landrover. Hapana linganisha simba na panya.
 
Washenzi nyie,yunawlisha na ole wenu mngeanza kuwapiga watanzania spika wetu alisema tungeamkia nairobi,raisi wenu aliogopa kuamshwa na jwtz ikulu akaja kujikomba kwa bwana mkubwa wake,mungiki nyie
 
Jifunze kiswahili sahihi kwanza
 
yameanza kuuzwa ama bado yapo kwenye majaribio! toleo la kwanza liliishia wapi bila kuuzwa na kutoa toleo hili!? toleo lipi litaingia sokoni!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…