Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,017
- 16,431
Tunazidi kutanua katika sector ya Manufacturing and Assembling and now design of motor vehicles. Hii gari inavutia sana ukilinganisha na Mobius 1.0 ambayo kusema ukweli ilikuwa sura mbaya. Nafurahi kuona sasa tunadesign magari yanayoweza kuenda guu kwa guu na magari kutoka ulaya. Tuendelee hivyo hivyo.