A Car designed in Kenya, Assembled in Kenya, Global factory in Kenya with few imported parts - Mobius 2.0

Hii habari yaonyesha imekuuma sana...ila huna la kusema kisa umekaririshwa.
Basi..hao watu wenyewe huwajui...halafu isitoshe...mtanzania n mtanzania tu...wacha ubaguzi...mbna moh dewji na akina harmonize mnawakumbatia
Kuna mmoja mmiliki wa city Garden na aliwahi futurisha Wateja wake kwa offer mule City garden restaurant na mm nikiwemo.
Totally Benadir person acha ubishi
 
Hongereni Wakenya, angalau sasa kuna kitu walau kimoja kutoka kwenu chenye sura nzuri πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Hizo picha za nyumbu zimenikumbusha kuhusu yale magari ya Nyayo Pioneer, Made in Kenya. Ambayo dikteta wetu rais Moi na serikali yake tukufu ya KANU waliibuka nayo mwaka wa 1990!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…